milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UN: Raia milioni 6 wa Afghanistan wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa

    Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema watu milioni 24 nchini humo wanahitaji msaada wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kila kata hatuwezi fanya harambee za kuboresha shule zetu?

    Habari wadau. Kwanini tusifanye harambee kuboresha shule zetu ili vizazi vyetu vipate elimu bora na kupata taifa la wenye akili. Kuna uzi humu kanisani kijitonyama milioni 300 ya kununua nyumba ya mchungaji ilichangwa nusu saa tu. Nikawaza watoto wanaosali hapo kanisani je wote wanapata elimu...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanza: Nyumba ya Chumba na sebule kwa milioni 4 tu

    Habari zenu? nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20 Nyumba ni ya Chumba na Sebule Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4 kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

    Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60. Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Milioni 22 kukumbwa na baa la njaa Afrika Mashariki

    Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022 Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema uhaba wa mvua kwa misimu minne mfululizo umesababisha idadi kubwa ya wananchi wa...
  7. JamiiForums Tanzania FIFA yauza tiketi Milioni 2.45 za Kombe la Dunia 2022

    Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16). Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
  8. JamiiForums Tanzania Kiungo wa Real Madrid, Casemiro akubali kwenda Man United kwa Paundi Milioni 60

    Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa. Inaelezwa kuwa Mbrazili huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii na kila kitu kikienda...
  9. JamiiForums Tanzania Uingereza: Walioambukizwa VVU kimakosa kulipwa fidia ya Tsh. Milioni 281

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwalipa fidia ya Tsh. 281,800,046 watu zaidi ya 4000 walioambukizwa Virusi Vya UKIMWI kwa uzembe wakati wakiongezewa Damu. Watu hao waliambukizwa VVU na Homa ya Ini kupitia bidhaa chafu za Damu zilizoingizwa kutoka Marekani ambapo takriban watu 2,400 wanadaiwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Vunja Bei adai kupata hasara ya zaidi ya Tsh Milioni 300 Jezi za Simba

    WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana...
  12. JamiiForums Tanzania Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

    Kwa ufupi sana. Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine. Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida...
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Chaser kwa milioni 3 tu

    Tunamalizia ushindi wa Simba na sherehe za 8-8 kwa kukuletea chuma kali kwa bei mtelezo Toyota Chesa hyoo ipo posta DAR full Ac Tair Safi bei imepoa mil 3 top njoo chap 0713-096-076 Wahi chap tuache comments zisizo na mashiko.
  15. JamiiForums Tanzania Diamond amelipwa Tsh. Milioni 233.3 kumfanyia kampeni Raila

    Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika kesho August 9. Diamond, pamoja na mpenzi wake wa zamani Zari Hassan, walikuwa bize kupanga...
  16. JamiiForums Tanzania Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

    Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi. Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k. Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa Unajua Binafsi huwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 Watu Milioni 1.5 waliambukizwa VVU Barani Afrika

    Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI barani Afrika Kulingana na Ripoti ya In Danger ya Shirika...
  18. JamiiForums Tanzania Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

    Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa. Kimsingi Rais Samia ndani ya siku 495 za Urais wake, amefanya makubwa katika kila sekta, wazungu wanasema 'No stone left unturned'...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Shilingi Milioni 500 kufanya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati bora ya kupikia

    Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
  20. JamiiForums Tanzania Kumekucha Avic Town Wachezaji wanasema kama Aziza Kety atalipwa Mshahara wa Tsh Milioni 25 acheze peke yake

    Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…