Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.
Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020.
Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao.
Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Sh400 milioni zimetolewa kwenye akaunti ya chama hicho huku baadhi ya fedha hizo zikidaiwa kutumika kisiasa.
Fedha hizo zinadaiwa kutolewa kwenye akaunti ya umoja huo kuanzia mwaka 2018 hadi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema hadi sasa idadi ya waliochanja chanjo ya Uviko-19 katika mkoa huo ni milioni 3.4.
Makalla ameyaeleza hayo leo Jumamosi Novemba 27, 2022 baada ya matembezi ya hiari yaliyoandaliwa na Huduma za Afya Aga Khan Tanzania (AKHS, T) kwa kushirikiana...
Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets.
Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni.
Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
👇👇
Nawasalimu sana wandugu.
Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha...
Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream".
Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako...
Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area).
Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi.
Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
Deodatus Thadei Luhela, Mhasibu wa Kampuni ya ‘Your Home Choice’’ amekamatwa kwa kutoa taarifa za uongo akidai Majambazi walimjeruhi na kumpora fedha za Mwajiri wake.
Mtuhumiwa alifungua kesi ya unyang'anyi kituo cha Polisi Chang’ombe, baada kubanwa kwa maswali ya Askari, aliwapeleka Chanika...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe.
Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
IKUNGI WALIPWA FIDIA NA JESHI MILIONI 243.7
Serikali kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imetoa fidia ya fedha kiasi cha shilingi milioni 243.7 kwa ajili ya wananchi 160 wa vijiji vya choda na mkiwa wilaya ya Ikungi
Akizungumza wakati wa kikao cha utoaji wa taarifa za mapokezi...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham amemtaka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ulanga kuangalia miundombinu ya maji katika hospitali ili kurekebisha maeneo yenye mivujo ya maji.
Salim amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo na kuoneshwa bili ya...
Kupanga ni kuchagua.
Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep Mgunda amecheza mechi 4 tayari ana 1.2b.
Nasema tena kupanga ni kuchagua. Asanteni sana mliopanda...
Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga).
Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...