milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serengeti yatoa mikopo isiyo na riba zaidi ya milioni 136/-

    Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imetoa mkopo usio na riba yenye kiasi cha Tsh. Milioni 136,374,130/- kwa vikundi 28 vya wanawake,vijana na watu wenye walemavu ikiwa ni mkopowa wa asilimia 10% za makusanyo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023. Akizungumza katika hafla fupi...
  2. JamiiForums Tanzania Kondomu milioni 111.9 zilisambazwa nchini mwaka 2022

    Ikiwa ni hatua ya kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema Serikali imesambaza kondomu milioni 111.934 nchini katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2022. Hayo ameyabainisha juzi Januari 13, 2023 kwenye kikao cha ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Kila manusura wa Precision kulipwa Sh. milioni 70

    Ndege ya Precision ikiwa imezama majini ndani ya Ziwa Viktoria MANUSURA 19 katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, mwaka jana – nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba -- wataambulia malipo ya fidia ya Sh. milioni 70.2, Pambazuko linaweza kueleza. Taarifa za awali ambazo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DED Iramba ashikiliwa Ushetu Shinyanga kwa ubadhirifu wa Milioni Tsh. 180 alipokuwa DED

    Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
  5. JamiiForums Tanzania Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

    Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Milioni 200 zajenga madarasa Ludewa, kamati ya siasa yapita kukagua

    MILIONI 200 ZAJENGA MADARASA LUDEWA, KAMATI YA SIASA YAPITA KIKAGUA Ikiwa tunaelekea mwezi Januari mwezi ambao wanafunzi huripoti shuleni kuanza na kuendelea na masomo yao, kamati ya siasa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefanya ziara ya kukagua vyumba 10 vya madarasa katika sekondari...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  8. JamiiForums Tanzania Darwin Nunez na Antony dos Santos ni wachezaji wa paundi milioni ishirini kila mmoja na siyo zaidi ya hapo

    Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile. Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez kweli ulipe Euro 75m na Antony ulipe Euro 95m? Madrid walimnunua Toni Kroos kwa Euro 25m.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  11. JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti Bloomberg: Watu milioni 37 wameambukizwa COVID-19 ndani ya siku 1 nchini China

    Mtandao wa #Bloomberg umeripoti kuwa maambukizi hayo huenda yamewafikia watu Milioni 248 ambao ni sawa na 18% ya idadi ya watu wote ndani ya siku 20 za Desemba 2022. Desemba 22, 2022, kampuni ya Airfinity inayohusika na utunzaji Data za #Afya ilikadiria kuwa kuna uwezekano wa Vifo vya kila siku...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu. Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma. So far, nimefikiria kuwekeza katika...
  14. JamiiForums Tanzania Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  15. JamiiForums Tanzania Mashahidi 14 kutoa ushahidi kesi ya dawa za kulevya za Sh559 milioni

    Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na dawa za kulevya (ADU), Godrey Nzowa anatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye thamani ya Sh559 milioni inayomkabili raia wa Liberia, Ndjane Abubakar. Abubakar anadaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya...
  16. JamiiForums Tanzania WHO: Kila siku maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa yanatokea Duniani kote

    Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana. Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila mwaka kuna wastani wa Maambukizi Mapya Milioni 374 ya Magonjwa ya Zinaa ikiwemo Klamidia, Kisonono na...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  18. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni 5 Bugogwa, Mwanza, kimepimwa

    Kiwanja kipo,nyamwilolewa kata ya bugogwa. kina ukubwa wa 30*25 Kimepimwa. Bei Milioni 5 Mawasiliano:0765540059
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari ya milioni 60

    Wakuu, salama? Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60. Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri. Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake. Gari anayotaka ni ya kutembelea. Shukrani sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…