milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga kulamba Milioni 500 wakiifunga TP Mazembe

    Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe. Matajiri na vigogo hao...
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wenje: Bajeti ya Uchaguzi mkuu wa CHADEMA ni zaidi ya milioni 700

    "Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tunaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya milioni 700.
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wa UVCCM Wachangia Milioni 30 Kwaajili ya Ujenzi Chuo cha UVCCM Tunguu, Zanzibar

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM. Aidha, Wabunge na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

    Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza! **** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu! “Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui hat aukinya inakuaje, hembu angalia, mimi wanawake wananipenda, nina akili na usidhani haya mafanikio...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Atupele Mwakibete Achangia TZS Milioni 10 Ujenzi wa Ofisi za CCM Busokelo

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo. "Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  11. JamiiForums Tanzania Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

    Habari wakuu, Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo. Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kama wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
  12. JamiiForums Tanzania Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  14. JamiiForums Tanzania Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

    Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake. Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi BAWACHA wamemlipia Mbowe Milioni 1.5 fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
  17. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaipa Mt. Meru Hospital michango yenye thamani ya Tsh. Milioni 15

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania TAKUKURU kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya Wakati. Akikabidhi...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

    Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini? Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Mbutu Kichangani Kigamboni Sqm 756 na 745 kwa Tsh. Milioni 20 tu

    Eneo lipo Mbutu Kichangani 25km kutoka ferry. Kila kiwanja milioni 10 tu. Maelezo ya ziada yapo kwenye video hapo chini. 0683445266 Mawasiliano
  20. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…