Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...