milango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Seth saint

    Wito: Anayetaka kuondoka kanisa katoliki (RC) sasa milango iko wazi

    Habari za wakati huu watanzania wote kwa ujumla. Moja kwa moja katika mada.Kumekuwa na maoni na mijadala mingi kuhusu mwenendo wa kanisa katoliki(RC).Kuna malalamiko ambayo yanasemekana yanatoka kwa waumini wa kanisa katoliki(ambayo sina uhakika kama wanaotoa malalamiko ni wakatoliki kweli)...
  2. M

    Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
  3. Kipenzi Changu

    Acha kupotosha, hizi ni protocal za kufunga milango ikulu

    Ambao hawajawahi kufika ikulu ndio wageni wa hizi protocal. Miongozo ndio inataka hivyo
  4. M

    MCP: Siri Inayofungua Milango ya Software Development

    ..
  5. W

    Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

    Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China. Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi. Ahsante.
  6. Alloyce PR

    Ujasiri wa Kutojua

    "Jifunze kusema ‘Sijui’, kwa sababu unavyojifanya kujua kila kitu, ndivyo unavyojifungia milango ya maarifa." — Alloyce, P.R.
  7. neggirl

    Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  8. RaJhumoR

    Milango ya Mitondoo

    Ebwana, Habari wana JamiiForum Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake Aisee hii milango iko katika good condition na ipo sokoni mpaka kesho kutwa ambapo boss akikosa mteja ataigawa anapojua Kwa...
  9. W

    Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  10. CONTROLA

    Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

    Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango. Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba. Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
  12. Godee jr

    Milango ya Chuma toka China na ile ya Tanzania-Uimara na Changamoto zake

    Habari wanajukwaa. Ninaomba tupeane uzoefu na mawazo kuhusu aina hizi 2 za milango ya Chuma. Ipi ni bora ukilingamisha na mingine. Strength na weakness za kila milango. Inadumu kwa muda gani na reaction zake linapokuja swala la kutu. Uimara wa milango yenye na vitasa vyake. Pia tuangalie na...
  13. P

    Milango ya mninga au mkongo used au mipya

    Habari zenu wanaJF Kama kichwa cha habari, naombeni mwenye used au mipya milango na frame zake kama naweza kupata kwa bei nafuu, nipo Dar ES SALAAM mbezi kavu au kibamba. Asanteni
  14. MBOKA NA NGAI

    Alpha mine yafunga milango

    Kutokana na kasi ya kundi la M23 kujiokotea maeneo huko Kivu kasikazini, Mgodi wa ALPHA MINE ambao ni mali ya serikali ya Canada, umefunga milango kwa kinachoitwa kwa muda. Mpaka sasa, wafanyakazi wote wapo kwenye harakati za kurudi makwao, mpaka hapo kitakapoeleweka.
  15. W

    Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  16. L

    Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
  17. Mshana Jr

    Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

    Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana 1. Kundi la mwenyekiti 2. Kundi la makamu Makundi haya kupitia mamluki wa CCM ndio yatagombanishwa siku ya uchaguzi na mambo mawili yanaweza kutoka 1...
  18. Jamiitrailer

    Yericko Nyerere kusifia wenzie wenye ‘connections’ na Abdul ina maana haoni shida wananchi kupewa stahiki zao kwa milango ya nyuma

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  19. Mejasoko

    Milango 7 ya Baraka kwenye Maisha ya Mwanadamu

    Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu inayotambulika kama Milango ya Baraka, ipo takribani Saba kama ifuatavyo: 1) Mlango Mawazo/Fikra Kupitia lango...
  20. Roving Journalist

    Waziri Silaa Afungua Milango ya Ushirikiano kwa CoRI Kujadili Masuala ya Sekta ya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi. Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
Back
Top Bottom