mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

    Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo! Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
  2. Pakistan yapiga marufuku matangazo ya mikutano ya Imran Khan

    Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya habari vya utangazaji ya Pakistan, PEMRA, imezipiga marufuku televisheni nchini humo kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa waziri mkuu wa zamani Imran Khan aliopanga kuufanya hii leo. Marufuku hiyo ilitolewa jana jioni, ikiwa ni siku ambayo Khan...
  3. Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  4. Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

    Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao. Kongole sana Profesa...
  5. Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
  6. M

    CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

    Lack of wisdom "Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu...
  7. Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  8. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Wanabodi, Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
  9. L

    Benki ya AfDB yafanya mikutano ya mwaka nchini Ghana

    Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika. Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye ufunguzi wa mikutano hiyo amewataka wakopeshaji wa masharti nafuu wa bara hilo kuisaidia Afrika...
  10. I

    Ni wakati muafaka sasa Mbowe kuachana na mikutano ya Rais Samia

    Kwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof. Juma akiamuru mahakama kutopingana na serikali vilevile tumemsikia Spika wa Bunge akisisitiza utiifu...
  11. J

    Mahojiano na Dar24: Dkt. Slaa adai alikuwa akifukuza kama MBWA ma-OCD walioingilia mikutano ya ndani ya Mbunge

    Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko. Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro. Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu kuja kwenye mkutano wangu wa ndani...ondoka wewe MBWA.."🤣 Ili nisimuwekee maneno Dr.Slaa naomba...
  12. Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  13. 5

    US kutoshiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, Biden aliomba Russia itolewe

    Wadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila anapochomoza pua. Naomba kutanguliza shukurani
  14. Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

    Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi? Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
  15. E

    Kanuni za Mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa zilenge kusahihisha tulikopita

    Nimesikia Rais ameagiza Waziri kuandaa kanuni za mikutano ya vyama vya siasa na hapa ndipo tunatakiwa kurejea katika historia yetu na kujiuliza tumekuwa na changamoto gani mpaka hapa tulipo na kanuni hizi zilenge kutoa majibu. Tukirudi katika historia tunaambiwa miaka ya 60 na 70 tulikuwa na...
  16. Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  17. L

    Mikutano miwili imekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
  18. L

    Mikutano Miwili ya China yazingatia kulinda haki na maslahi ya wanawake

    Pili Mwinyi Kwa miaka mingi China imekuwa ikiimarisha sheria na kanuni zake zinazomhusu mwanamke, kukuza sera za umma, kufanyia kazi mipango ya maendeleo na kuendeleza masuala ya usawa wa kijinsia na maendeleo ya wanawake. Katika mikutano miwili inayofuatiliwa sana nchini China, ulinzi wa haki...
  19. Wanawake katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja

    WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi. Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu ya marehemu baba yake: ''Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa...
  20. L

    Mikutano Miwili Mikubwa ya China: Ina umuhimu gani kwa jamii ya kimataifa?

    Mikutano Miwili mikubwa nchini China, ambayo ni Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) na Mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC), inatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Machi hapa Beijing katika Ukumbi wa Mikutano. Mikutano hii imekuwa ikifuatiliwa sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…