mikutano ya hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wabunge wanajisahau sana; kama ilivyo mikutano kampeni, kungekuwa na mikutano ya wazi kila miezi mitatu kutoa taarifa na mrejesho kwa wananchi

    Uwajibikaji wa kweli unahitaji mikutano ya mara kwa mara, kusikiliza maoni ya wananchi, na kutoa taarifa za maendeleo hata nje ya kipindi cha kampeni. Hii inasaidia uwajibikaji na ushirikiano. Kuna wabunge wakishatangazwa tu wanahamia Dodoma au Dar. Hali hii inaacha pengo kubwa la mawasiliano...
  2. S

    PostGE2025 Mange: Wananchi tususie mikutano yote inayoitishwa na mtu yeyote wa serikali hii haramu. Kuhudhuria mikutano yao tunaridhiana bila kujua

    Wananchi msihudhurie mikutano inayoandaliwa na waziri, mbunge,. DC, RC ama kiongozi yeyote wa serikali hii haramu. Mnapohudhuria mnapeleka ujumbe kwamba: 1. Mnaitambua serikali hii haramu. 2. Mnawapongeza kwa kuuwa watanzania wenzetu siku ya MO29. 3. Mnawakatisha tamaa wale wanaoendelea...
  3. MIMI BABA YENU

    Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  4. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Polisi yakana kuwashikilia Heche na wenzake! Wasema walikuwa wanazuia fujo kutokana na kutokuwepo uwanja wa mkutano

    Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!. Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??. Au CCM ikiwa na...
  5. TUKANA UONE

    PreGE2025 G 55 Inapaswa Waanze Mikutano ya Hadhara kuuelewesha Umma namna ambavyo wanadhani wakishiriki kwenye Uchaguzi watapata Ushindi wa Kishindo

    Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea! Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
  6. Carlos The Jackal

    PreGE2025 CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !!

    Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo. Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k. Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa...
  7. upupu255

    PreGE2025 ALAT yawataka madiwani kufanya mikutano ya hadhara

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo yaliyofanikishwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya mikutano ya hadhara kuanzia vitongojini, vijijini...
  8. Mindyou

    PreGE2025 Hashim Rungwe wa CHAUMMA: Sifanyi mkutano wa hadhara chama changu hakina fedha

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo. Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
  9. Kingsmann

    PreGE2025 Mbowe akishinda uenyekiti CHADEMA, hali kwenye mikutano ya hadhara itakuwa hivi

    USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
  10. R

    Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

    SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka. Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
  11. Waufukweni

    Polisi Wazuia Mikutano ya ACT Wazalendo, Same kwa Maagizo ya Serikali

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Same limetangaza kusitisha mikutano ya hadhara ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ambayo ilitarajiwa kuanza Novemba 13, 2024. Hatua hii inakuja kufuatia maagizo kutoka kwa ofisi ya serikali ya mkoa inayozuia mikutano ya hadhara kabla ya tarehe rasmi...
  12. Matulanya Mputa

    PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa

    Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
  13. Stephano Mgendanyi

    Mikutano ya Hadhara na Harambee za Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini

    MIKUTANO YA HADHARA NA HARAMBEE ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI Wito: Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameombwa na wananchi wa baadhi za kata aungane nao kwenye ujenzi wa sekondari ya pili na ya tatu ya kata zao - Mbunge amekubali. Takwimu: Jumla ya...
  14. Mystery

    PreGE2025 Sifa anazopewa Rais Samia, katika mikutano ya hadhara, nyingine hazimstahili

    Imekuwa ni mtindo wa kawaida kabisa hivi sasa, katika Kila mkutano wa hadhara anayoifanya Rais Samia, wateule wake wanampa sifa nyingi, ambazo nyingine hazimstahili. Huwa najiuliza, katika miradi mingi ya maendeleo huko mikoani, sifa zote anapewa Rais Samia na kitu ambacho naamini hakiko sawa...
  15. BARD AI

    Mikutano ya Hadhara ya Bobi Wine yasitishwa baada ya kudaiwa kusababisha Vifo

    Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana Watu wawili kufariki katika Mikutano hiyo Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku mbili tangu kuanza kwa...
  16. Idugunde

    Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

  17. D

    Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

    Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika". Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
  18. Dr Akili

    Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

    Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo. Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa...
  19. R

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    "Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
Back
Top Bottom