mikopo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Brac Tanzania jirekebisheni kwenye utoaji mikopo kwa wateja binafsi

    Hii taasisi ipo kwenye mikoa mingi, lakini taratibu zenu hazijatua, yaani kila baada ya muda zinabadirika. Ninyi mnafanya biashara kwa upande mmoja na kwa upande wa pili mnahudumia wananchi. Hivyo ni vema kuondoa ukiritimba uliopo sasa, mteja akimali mkopo ni vema apewe mkopo mwingine kuliko...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mikopo ya serikali kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu izingatie na haya

    Moja ya sifa za kupata mikopo hii kikundi kinapaswa kuwa na watu kwanzia 10 na kuendelea, na kwa wenye ulemavu wanaanzia watano na kuendelea. Hoja yangu ni kwamba, kwa upande wa vijana hii sifa imeangalia kundi la vijana ambao hawana elimu kwa mapana kwasababu ni rahisi mno kwa vijana waliokaa...
  3. JamiiForums Tanzania Masharti ya mikopo ya kibiashara yapunguzwe

    ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa ushauri kwa taasis zinazo jihusisha na mikopo na serikali kwa ujumla. vijana wengi wanao toka katika...
  4. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ishanichanganya hapa!

    Salam wakuu. Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14. Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo. Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa

    Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa. Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya elimu inavyoendeleza umasikini Tanzania

    Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu. Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja kati ya haki za binadamu, hivyo haitakiwi kutolewa katika misingi ya matabaka yanayotengenezwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

    Habari Zenu Ndugu Zangu. Yes, THE FUSE TZ LTD, Ni Business Consultants Company ambao kwa Pamoja Tuna Deal Na 1. Business Registrations 2. Tra And All Tra Related Issues. 3. Loans Guidance And Assistance. Hapo No. 3 ndo Msingi wa Hii Post. Kwa Wafanya Biashara Wenye Kuhitaji Kuanzia tsh...
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yatoa mwongo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021. karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mikopo kandamizi ya mabenk inakwamisha uchumi

    Mabenki ya yetu hayako katika kusisimua uchumi kwa kukopesha mitaji Bali yapo katika kupata faida kubwa ndiyo maana wakopeshwaji wengi mikopo ni ndoano ya kufilisika au kusaidia mabenki kuwa na ukwasi wa kutosha kwa jinsi wanavyofanya sio haki na hakuna afya katika uchumi. Unapomkopesha mteja...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

    “Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tumalizane na miradi ya umeme iliyopo kabla ya kupokea mikopo ya umeme wa jua

    Tupo katika harakati za kutegemea umeme unaozalishwa na maji na gesi bado tena tunapokea mikopo ya umeme wa jua hii ina maana gani? Nimefikiria sana sawa ni vyema kuwa na kutumia nishati aina mbalimbali. Lakini kwanini tusingejikita kukamilisha miradi ilioanzishwa (Bwawa la Nyerere na gesi)...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nauliza kuhusu tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo

    Naombeni msaada kwenye mchanganuo wa tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo ambayo Mheshimiwa rais alizisamehe siku ya Mei Mosi. Nataka kujua utofaut wake upoje na zilkua zinatozwaje?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mikopo ya masharti nafuu kwanini nchi ichukue yenye masharti magumu?

    Naomba wenye uelewa wa mambo ya uchumi wa nchi wanipanue ufahamu kidogo kuhusu mambo ya mikopo. Nimekua nikisikia kwamba serikali imekopa au itakopa mikopo yenye masharti nafuu, na mara nyingi hatuambiwi inapokua imekopa yenye masharti magumu. Ndipo nikahitaji ufafanuzi toka kwa wataalam wetu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti ili kuomba mikopo ya HESLB unafanyika vipi?

    Mwenye ufahamu wa namna ya kuhakiki vyeti ili kujitayarisha kuomba mikopo ya HESLB anisaidie process inafanyikaje na vyeti gani vinahakikiwa
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ijikite kukusanya kodi, iachane na mikopo ya kubembelezewa na Benki ya Dunia kuhusu COVID 19

    Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo. Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi wagoma kuruhusu Mabenki kutoa mikopo ya watumishi. Yawezekana ni hujuma?

    Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi. Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo...
  19. JamiiForums Tanzania Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Serikali mtusaidie kufungua mifumo tupate mikopo

    Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini? Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…