mikopo

  1. M

    Bodaboda: Mikopo ya Halmashauri inatolewa kwa kufahamiana, kama hamfahamiki mtasota sana

    Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi. Mkutano huo umefanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
  2. CCM ina vijana wanashindwa tamka petition wanasema petrol station na ndio wanufaika wa mikopo 10%

    Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
  3. Wenyeji na viongozi wa Morogoro what goes on here Kila mtaa na uchochoro kuna frame za kutoa mikopo kidunchu?

    Hajambo wote! 1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia. 2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro. 3. Aiseeh! What goes on here? 4. Dec 31...
  4. M

    Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  5. Kuna matangazo mengi ya mtandaoni ya mikopo ila TCRA na BOT wanajua pesa waliolipwa kwa uongo na uchochezi.

    Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
  6. M

    Mikopo ya biashara Tanzania ni kwa ajili ya kuziua biashara na sio kuzikuza

    Tayari nimeweka nia ya kutojihusisha na mikopo ya aina yoyote ile mwaka 2026. Iwe benki, viccoba au wowote ule nitakaa nao mbali. Yaani nimejiahidi kama nilivyojiahidi kutofanya mapenzi hadi nimalize form 6 na nikafanikiwa. Hii mikopo sio kabisa. Kimsingi ukipiga hesabu ya marejesho ukajumlisha...
  7. Mikopo isiyo na Riba kwa watumishi wa umma

    Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za kuprocess). Lengo la mikopo hii ni kuwasaidia watumishi kupata fedha za kujenga nyumba, kununua usafiri...
  8. M

    Promotion ya Bajaji za umeme kwa mkopo na cash

    Habari Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo Bajaji ya abiria Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa...
  9. Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

    Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili. Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
  10. H

    Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  11. H

    Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  12. Kila Mtaa/ Kijiji kiwe na Database ya wananchi wake hasa Vijana na Mikopo itolewe kwa njia hizo

    Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department). (Kata = Vijana Ward...
  13. Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

    Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi. Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia? Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki? Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
  14. K

    Mikopo imegoma kwa serikali fake: Uza uza ya rasilimaji inakuja

    Mashirika ya kukuposha yamegoma sasa nchi kama China zimekaa mkao wa kula. Zinasubiri Mama na familia yake waende kupiga magoti na kuomba pesa za miradi yao hasa ile ya kifisadi. Hivyo tutaona uuzaji wa bandari ya bagamoyo, mbuga, migodi, haki za uchimabji wa mafuta, uendeshaji wa airport ...
  15. Wanafunzi 66,987 Wapangiwa Mikopo ya Tsh. Bilioni 215.3 na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB)

    TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
  16. S

    IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  17. K

    Wakuu naomba mnisaidie app za mikopo mtandaoni

    App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua, Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga...
  18. Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

    Habari zenu wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada hii tata; Ipo hivi, mwanzoni mwa mwezi Septemba nilichacha sana kifedha ikabidi nifanye re-installation ya App moja ya mikopo na kuchukua kiasi cha Sh 200,000. Baada ya hapo update ikaja kuwa mkopo ulipwe ndani ya siku saba ilhali mwanzo...
  19. K

    Nitapata wapi mikopo ya mitandaoni

    Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu! Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema nitapata wapi mikopo ya mitandaoni maana huko kote nimechukua app zao zote na kujisajiri lakini kote...
  20. L

    Usajili taasisi ya mikopo

    Kwa wale wanaohitaji kusajiri Taasisi za kutoa huduma ndogo za kifedha (Microfinance / Microcredit ) karibu tufanye kazi uweze kupata leseni ya Mammlaka husika BOT Pia kama unahitaji kusajiri kampuni karibu tukuhudumie Mawasiliano 0652659775 Normal call & Whatsapp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…