mikopo

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  2. JamiiForums Tanzania Moodys wamekuja nchini kutathmini cha kuuza endapo tutashindwa kulipa mikopo?

    Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje? Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, hiki kinachofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuanza tena kuwakata makato wale wanaufaika ambao tayari walishamaliza marejesho?

    Ninaomba tu kufahamau kama hiki kitendo kinachofanywa na hii Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), kama ni sahihi au la. Binafsi naona kama ni kitendo cha kihuni. Maana mwezi uliopita kuna kundi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu walioko kwenye utumishi wa umma, na ambao kimsingi...
  4. JamiiForums Tanzania Tsh. Trilioni 13 kwenye Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/24 ni Mikopo na Misaada

    Serikali inatarajia kuongeza 7% sawa na Tsh. Trilioni 2.9 ya Makusanyo kwenye Matumizi ya Fedha za Bajeti ya mwaka 2023/24 ili kufikia Tsh. Trilioni 44.38 kutoka Tsh. Trilioni 41.48 ya mwaka 2022/23. Tsh. Trilioni 26.72 zitakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Kodi na kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania Mikopo ya nyumba

    Wanajamvi vipi? Naomba uliza. Hivi kuna mkopo wa nyumba hivi. Una kiwanja, then bank inajenga nyumba afu ikusanye kodi mpaka itapomaliza mkopo wake. Je, kuna hii huduma kwa bank yeyote Tanzania?
  6. JamiiForums Tanzania Mikopo ‘kausha damu’ yatajwa kusambaratisha familia, wanandoa

    Chama cha ACT-Wazalendo kimeiomba Serikali kupitia mfumo mzima wa ukopeshaji unaotekelezwa na taasisi zisizo za kiserikali nchini kwa kuwa wananyinywa na kuhatarisha maisha ya wanawake. Kimetolea mfano wa mikopo inayojulikana kausha damu kuwa licha ya kuwasumbua wanawake pia imevunja ndoa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

    Habari za muda huu waungwana? Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia. Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
  8. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Rais anaweza kuwafutia kesi lakini suala la kulipa mikopo ya benki ni jukumu lao la msingi

    Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo. Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala...
  9. JamiiForums Tanzania Chongolo: Kwa Afrika Mashariki, nchi ambayo haina mzigo wa mikopo kuliko nyingine zote ni Tanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania haina mzigo wa mikopo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki na kusema hakuna nchi duniani isiyo na mikopo. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema baadhi ya watu wanapiga kelele kuwa Tanzania inakopa na akasema katika nchi za Jumuiya...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania commecial bank tawi la Pamba Nyamagana Mwanza mna tatizo gani kwenye kutoa mikopo?

    Habari ndugu wana JF. Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Ni kwamba katika bank ya Tanzania commecial bank zamani ikiitwa Posta bank tawi la Pamba Nyamagana kumekuwa na ucheleweshaji wa kutoa mikopo kwa watumishi na wastaafu wanaomba mkopo kupitia bank hio kwa tawi la Pamba lililopo...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Msihofie Mikopo, riba yake ni ndogo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba akiwa Dar es salaam leo ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuwa Mdau Mkuu wa Maendeleo ya Tanzania kwa kutoa mikopo nafuu na misaada mbalimbali inayotumika kutekeleza miradi inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Watu ambapo mpaka sasa, Benki...
  12. JamiiForums Tanzania Mikopo inatisha, yanaenda wapi hayo matrilioni!

    Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!? Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee. Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara? Kuna watu hapa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani yenye riba nafuu kwenye mikopo?

    Ni benki gani yenye riba nafuu kwa mikopo ya watumishi? Nawasilisha.
  14. JamiiForums Tanzania Madiwani Rungwe watakiwa kusimamia utoaji mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo. Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi HESLB waliongeza mikopo kimya kimya kwa baadhi ya wanafunzi?

    Wakuu, kwema? Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote. Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
  16. JamiiForums Tanzania NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

    Wapendwa Salaam, NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja, Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wanufaika na mikopo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na mpango wa kutengeneza mazingira wezeshi kwa watanzania ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu Serikali kupitia benk kuu ya Dunia (BoT) imetoa mkopo wa Tsh Bilioni 164,9 kwenye taasisi za kifedha na...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

    Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…