WANAFUNZI 19,345 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 59.49 BILIONI AWAMU YA TATU
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu leo (Jumapili, Oktoba 20, 2024) imetangaza Awamu ya Tatu (Batch Three) yenye wanafunzi 19,345 wa shahada ya awali waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 59.49 bilioni kwa mwaka wa...
Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote.
Mimi naomba mamlaka husika hawa watoa mikopo online zipunguwe kama hawa watu wanaoitwa Pesa X hawana lugha nzuri kabsa.
Utu ni jambo muhimu sana kwenye huu uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Kampuni ya mikopo midogomidogo ya OYA si kampuni rafiki na yenye UTU kwa wakopaji wake. Pamoja na kuwa na vibali halali vya kuendesha hiyo biashara lakini matendo ya wafanyakazi wake kwa wakopaji wanaoshindwa kurejesha kwa wakati...
Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap!
Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya!
Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara!
Nitoe mfano hai!
Jeshi la polisi lina...
Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT wameukemea baada ya wabunge nao kuona ndugu na jamaa zao nao wamekua wahanga baada ya wao wenyewe...
Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo;
Aina ya bajaji ni RE
Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha mikataba.
Mmiliki kwa kuwa tabia yake ni kudhulumu mali zetu, pindi unapotaka kumaliza deni ofisi...
Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni.
Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online
Mbinu nitakazotumia
1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu.
2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
Tunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo
Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa kabisa basi mwezi wa kumi lifunguliwe dirisha jingine
Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili.
UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO
Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15...
Wadau za wikiendi!
Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika kulipa mikopo ya aina hii.
Stori gani unaikumbuka ukisikia kausha damu?
Ah wapi! Sitoi salamu
Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao.
Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari pesa miksa finiloan naona zote zimefungiwa.
Kalaga Baho
Serikali imeendelea kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini. Katika kipindi cha julai 2023 hadi machi 2024 jumla ya shilingi bilioni 187 zilikopeshwa kwa wachimbaji ukilinganishwa na shilingi bilioni 145 zilikopeshwa mwaka 2022 sawa na ongezeko la shilingi bilioni 42.
Wanajukwaa kama mnavyojua kumkopesha pesa ndugu yako lolote linaweza kutokea hivyo hakikisha mnakumbatiana kwa mara ya mwisho.
NB; Usimkopeshe ndugu yako pesa bali mpe kabisa
Soma Pia: Usimkopeshe ndugu yako
Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi
KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.