miji

Miji (autonym: Dmay), also Dhammai or Sajolang, is a cluster of possibly Sino-Tibetan languages in Arunachal Pradesh, northeastern India. "Dialects" include at least two distinct languages, which are not particularly close, with only half of the vocabulary in common between the languages of East Kameng District and West Kameng District. Long assumed to be Sino-Tibetan languages, they may be a small independent language family.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miaka michache mbele miji ya Africa ndiyo itakuwa na hewa chafu zaidi duniani

    Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask. Leo miji...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
  3. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Miji gani migumu kwa biashara wakuu?

    Kuna maeneo ukianza kufanya biashara uwe na moyo mkuu aisee. ✍️
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa miji yetu kukosa smoking zones

    Tukiachana na vyoo vya umma bado miji yetu inakosa kitu muhimu sana. SEHEMU ZA WATU KUVUTIA SIGARA. Inakera sana kuona watu wakivuta sigara popote pale katikati ya mji na kuleta kero kwa wasiovuta. Idara za afya kwenye miji yetu wanafanya nini kwenye nafasi zao kama jambo dogo kama hili...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Uhuru Park Nairobi, Kenya nchi yenye uhaba mkubwa wa Ardhi, Vipi sisi Tanzania wenye ardhi tele na miji imejaaa Frame tupu?

    Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga. Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
  7. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Biashara miji midogo inayokuwa

    .
  8. Sh3isart

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, fani ya mipango miji(Bsc. Housing and Infrastructure planning)

    Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
  9. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kinachotushinda Wabantu kuchora na kupanga miji ni nini?

    Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani. Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi. Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

    Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
  12. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Miji ya Kesho: Jiji Lako Litakuwaje Miaka 10 Ijayo?

    Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah Kashambulia Base na Airport ya Haifa na Miji Mingine ndani y Israel

    Habari ya mjini ndio hio Israel kunawaka moto na wanazuia TV zisionyeshe wa Kwanza Al Jazeera kavamiwa office zake. https://youtu.be/gge7jCaNeak?si=5UYU-0btNIMmIjBz https://youtube.com/shorts/uXpvm4PoKA0?si=xuE4CotYcKnosYVr Base inawaka moto wanazuia wasionyeshe aibu zao. Base imesambaratishwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mipango miji Ilala wamewezaje kuruhusu mgahawa wa kienyeji kujengwa mbele ya Hotel ya Johari Rotana?

    Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo kuna hoteli ya Johari Rotana, kwenye geti la kuingilia kwenye Hotel. Johari Rotana ni 5 stars...
  15. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Omba omba kwenye miji na vijiji

    Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi. Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba yanafanana na hata wakati mwingine wanakuwa wengi sehemu moja,mfano ni kwenye taa za kuongoza magari na...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakienda barabarani siyo septemba 23, 2024 tulio wao sisi twende kwenye miji yao

    CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
  17. X

    JamiiForums Tanzania Mipango miji na usafiri Dodoma

    Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida. Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
  18. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

    Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!? Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
  19. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha mipango Miji Manispaa ya Kigamboni wanakwamisha leseni nyingi za biashara zinazotakiwa kuanzia kwao

    Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
  20. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji. Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu. Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo. 1. Lindi 2. Shinyanga 3. Tabora 3. Singida 5. Kigoma 6. Songea 7. Musoma 8. Bukoba Manispaa...
Back
Top Bottom