miji

Miji (autonym: Dmay), also Dhammai or Sajolang, is a cluster of possibly Sino-Tibetan languages in Arunachal Pradesh, northeastern India. "Dialects" include at least two distinct languages, which are not particularly close, with only half of the vocabulary in common between the languages of East Kameng District and West Kameng District. Long assumed to be Sino-Tibetan languages, they may be a small independent language family.

View More On Wikipedia.org
  1. Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel

    Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza. Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷 https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61
  2. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  3. Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  4. Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  5. Hakuna biashara za kutangaza kwenye mabango ya matangazo ya miji?

    Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi. Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
  6. Marekani yajiandaa kuishambulia Colombia ili kumchukua Rais Gustavo Petro, majasusi wa CIA tayari wapo kwenye miji ya Bogota na Cucuta

    Raisi Donald Trump amesema Marekani ni lazima iwe na uhakika wa usalama wake pale tu endapo eneo lake la Marekani ya Kusini ( Western Hemisphere) litakuwa salama na tulivu. Rais Trump amesema rais wa Colombia Gustavo Petro ni mgonjwa na kwa muda sasa rais Petro amekuwa chini ya vikwazo kadhaa...
  7. Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

    Wakuu leo nimeona nilete mada mezani. Kwa nini miji yetu mingi ipo disorganised ukifananisha na wenzetu? Ukiangalia miji ya nchi za mambele utaona imepangiliwa, misafi, wamepanda miti mingi, haipo chaotic ni miji inayovutia Mfano angalia mji wa Seattle, Marekani Lakini ukiangalia Africa miji...
  8. M

    Wito kwa JWTZ Mliopewa kazi ya kufanya lindo kwenye miji mikubwa

    Ndugu zetu Askari, najua wengi wenu mnatamani kuona Mambo ya Guniea na Madagascar yanafanyika, ila kwa sababu kadhaa na mobilization inakuwa ngumu, hivyo basi niwatake hakikisheni mnachukua Risasi kadhaa kila mkitoka kambini, zimeenda wapi nyie ni watu werevu mtaweza kuelezea hilo swali...
  9. Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  10. Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Naomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji. 1. Lindi 2.......... 3...........
  11. M

    Kwanini miji mingi waliyotawala waarabu kuna kiasi kikubwa cha kutumia ushirikina wa majini ?

    Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k. Tanga Pwani Tabora Lindi Pemba
  12. Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  13. Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

    Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha. Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
  14. Miji ya Chalinze na Msata kama lango la jiji la Dar es Salaam haipaswi kuwa vile kama ilivyo

    Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
  15. Miji midogo ndani ya MANISPAA/JIJI itaboreshwa na kuwa ya kisasa na mizuri

    JIJI/MANISPAA nyingi zina miji midogo midogo na inakua sana ila cha kusikitisha hii miji inakua tu bila mpangilio wowote badala yake hii miji inatakiwa ijengwe vizuri na kuwa mizuri bado ipo ipo tu sio mizuri hata- Maboresho kwenye hiyo miji ni kama ifuatayo;- Kutajengwa magorofa marefu ambayo...
  16. Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  17. Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
  18. Sasa hivi kila kona ya miji yetu ni vumbi kwa kwenda mbele

    Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine Mfano sehemu kama posta, kariakoo kunakuaje na vumbi, mji kama tunduma unakuaje na vumbi, mji kama makambako unakujae na...
  19. Miji ya Tanzania haina open space, public garden, sport centre inasikitisha sana

    Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space...
  20. Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

    Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran. Angalau magari matano ya dharura yalipelekwa katika eneo la tukio baada ya mlipuko wa Jumatatu katika makazi ya Nasim Pardisan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…