Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,540
- 8,714
Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee kujenga gorofa
Huu ni mfano mdogo wa mambo mengi sana ya hovyo yanayoendelea sehemu mbalimbali za nchi ni aibu na tumekosa ustaarabu
Sasa njia ya kuondoa huu uholela ni wakati wa kuanzisha jeshi la mipango miji ambalo halitaruhusu mfano wa mtu niliyomtolea mfano kanunua nyumba ya kawaida na sasa anaongeza gorofa
Watanzania wanatakiwa wapitishwe kwenye moto kupitia kuanzishwa jeshi ambalo litakuwa na kazi zifuatazo
Lazima uholela uondoke na wako watakaopinga ila ni lazima kuwa na jeshi la mipango miji

- Litahakikisha hakuna mtu anajijengea anavyojisikia lazima afuate masterplanning
- Ambaye anafanya marekebisho ya nyumba atafuata utaratibu na anaendana na mipango miji
- Kuwatia nguvuni wote ambao hawafuati mipango miji
- Kuzuia ujenzi ambao haufuati mipango miji
Lazima uholela uondoke na wako watakaopinga ila ni lazima kuwa na jeshi la mipango miji