miili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Ruto: Waliohusika na Mauaji ya Miili iliyotupwa Kware watakiona cha Mtema Kuni

    William Ruto ameagiza mamlaka husika kuharakisha uchunguzi kuhusu miili iliyopatikana ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki kwenye dampo la Kware huko Mukuru kwa Njenga, Jijini Nairobi ili wahusika washughulikiwe kwa Mujibu wa Sheria za Nchi Ruto amesema hakuna sababu yoyote inayoweza...
  2. Polisi ya Kenya kushirikiana na LSK uchunguzi wa miili 11 ilio kutwa Dampo. Je Tanzania hii inawezekana?

    Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
  3. A

    DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  4. Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  5. Napenda wanawake wafupi wenye miili midogo wapewe maua yao

    Shalom, Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa mdalasini, mchaichai, pipi kifua na asali basi hutojutia. Tuwape maua wanawake wafupi wenye vishepu na...
  6. Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  7. Miili ya wanajeshi wa UAE waliouawa Somalia yawasili nyumbani

    Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE. Maafisa wa Imarati walisema...
  8. Miili ya Watanzania waliofariki Septemba 2023 kurejeshwa nchini kesho Januari 25, 2024

    MIILI ya Watanzania watatu waliofariki dunia Septemba mwaka jana, kwenye ajali ya moto Afrika Kusini, inatarajiwa kurejeshwa kesho nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana, Watanzania hao waliopoteza maisha ni Said Mohames Kisarazo...
  9. Maoni kuhusu suala la wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitali ya Muhimbili

    Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni. Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
  10. R

    Beach boy aeleza jinsi walivyokuwa wanaibua miili ya watu kwenye viroba

    Msikilize hapa akielezea kuhusu hilo akisema ni katika mambo ambayo hatokuja kusahau katika maisha yake yote. Akiulizwa ni tukio gani hatalisahau kamwe kwenye maisha yake Joseph Benard AKA Pongo Mnyama - Beach boy amesema; Kuna kipindi walikuwa wanaopoa maiti za watu kwenye viroba zilizokuwa...
  11. Mabaki ya miili ya Watanzania iliyopo Ujerumani kurejeshwa Tanzania

    Imechukua zaidi ya karne tangu mabaki ya miili ya Watanzania yahifadhiwe katika makumbusho mbalimbali nchini Ujerumani na sasa uamuzi wa kuyarejesha umefikia hatua nzuri. Baadhi ya mabaki hayo ni yake ya miili ya machifu na viongozi mbalimbali waliokuwa vinara katika vita vya Tanganyika dhidi...
  12. Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

    SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas. VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel...
  13. Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

    Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
  14. Sie tunywe tu mbinguni si tutapewa miili mipya

    Wasalam, Sisi vijana tumekuwa na kauli nyingi sana za kishujaa na za kupeana matumaini kwenye maswala mazima ya starehe kama kumwagilia moyo na kuburudika nafsi na kusahau ili tuweze kufanya mambo yetu tofauti fofauti na kuweza kufikia malengo yetu tunaitaji afya pia, Nimetanguliza kichwa...
  15. Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee... Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk. Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo...
  16. Miili ya walioagizwa kufunga hadi wafe nchini Kenya yafikia 372

    Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na Mungu ukiendelea Waliookolewa wakiwa hai hadi sasa wamefikia 95 huku uchukuaji wa Vinasaba ukiwa...
  17. S

    Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

    Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut...
  18. Baba wa Mapacha waliochunwa ngozi ya uso, kukatwa Ulimi na kutolewa macho agoma kuzika miili

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
  19. Polisi wabaini maiti nyingine 29 kwenye Makaburi ya Shakahola, miili yafikia 179

    Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la Mchungaji Paul Mackenzie. Awamu ya pili ya uchimbaji wa miili ilianza wiki hii, baada ya timu...
  20. B

    Songwe: Miili mitano yaokotwa msituni

    WINGU jeusi limetanda wilayani Mbozi katika Mkoa wa Songwe baada ya miili ya watu watano wasiofahamika kukutwa imetupwa kwenye msitu wa Mlima Senjele pembezoni mwa Barabara Kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM). Miili hiyo ambayo ni ya wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 na 30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…