miili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

    Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

    Zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imebainika kuwepo katika Jiji la Kyiv ambao ni Mji Mkuu wa Ukraine baada ya kuondoka kwa majeshi ya #Russia, mingi kati ya hiyo ikiwa imeshambuliwa kwa risasi. Polisi wamesema kuwa hiyo ni ishara kuwa wengi waliuawa kirahisi. Idadi hiyo ya kutatanisha...
  4. masai dada

    JamiiForums Tanzania Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

    Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo. By the way nahitaji mwanamke anaepiga mazoezi tupeane changamoto na fursa katika hili swala la kupungua...
  5. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

    Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊 Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁 Sawa turudi kwenye mada husika. Ni kwa muda kidogo nime kuwa nikitafakari tunakoelekea miaka kadhaa mbele watoto wetu watakutana na changamoto zipi Hapo baadae...
  6. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Singida: Miili ya watu watano waliozama bwawani yapatikana

    Miili ya watu watano waliokufa maji katika bwawa la Ntambulo mkoani Singida imepatikana huku vifaa duni vikitajwa kuchelewesha kazi ya kutafuta miili hiyo. Kati ya miili iliyopatikana ni wa mwanafunzi wa shule ya msingi na juhudi zaidi zinafanyika kumtafuta Mohamed Ayub. Ajali hiyo ilitokea...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Marekani: Miili zaidi yapatikana katika jengo lililoporomoka Florida

    Wakati shughuli za uokoaji zikiendelea katika jengo la ghorofa 12 lililoporomoka siku ya Ijumaa nje kidogo ya mji wa Miami, Florida nchini Marekani, miili zaidi imetolewa katika kifusi cha jengo hilo. Watu 9 waliripotiwa kufariki kufikia siku ya Jumapili, akiwamo mtu mmoja aliyefariki akiwa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

    Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vimekutwa kwenye eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha Wilayani Mbarali mkoani Mbeya jana Jumatatu Aprili 27, 2021 huku vikiwa vimeharibika. Taarifa za vifo hivyo zilitolewa na baadhi ya wanavijiji waliodai kukimbia askari wa wanyamapori waliokuwa wakiwafukuza...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

    Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo. Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu. Natambua kweli ile tunaita...
Back
Top Bottom