mihogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipato chako kwa mwezi hakizidi Milioni 1, Mafuta kwa siku si chini ya elfu 20, Bro ! endelea kulinda Brand, soon utaanza kula vitumbua na Mo Chungwa

    Ukisikia gari ni liability basi ndio hii Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku, Sasa imagine mtu...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Mifugo hufariki wakila maganda ya mihogo mibichi

    Katika jamii ya Kitanzania, baadhi ya mifugo kama vile mbuzi na ng’ombe hufariki wanapokula maganda ya mihogo mibichi. Hali hii huwastaajabisha wafugaji wengi, kwa kuwa mihogo hiyo huwa salama na hata tamu kwa matumizi ya binadamu, lakini inapoliwa na baadhi ya mifugo husababisha madhara...
  3. JamiiForums Tanzania Nimechoka! Jirani ananifuturisha mihogo na uji kila siku. Nifanyeje?

    Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama. Natafuta namna ya kumwambia maana kutochangia haimaanishi ndio wanipe mihogo kila siku kama nguruwe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha vijiti vya mihogo

    Habari wakuu, Naomba muongozo kwa wenye uzoefu, Je,inaruhusiwa kusafirisha vijiti vya mihogo kiasi, Kutoka Tanzania kupeleka Zambia ,kama mbegu Asanteni.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Toka kwa muuza mihogo mpaka SGR

    Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo. "Niuzie ya mia tano!" "Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni." Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria. Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
  6. JamiiForums Tanzania Soko la muhogo mbichi

    Wakuu habari, Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono, Bagamoyo ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei. Na eka 5 ziko tayari kuvunwa. Mihogo yake ni mizuri sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  8. JamiiForums Tanzania Aslay mihogo Mwanza

    Habari za Mihangaiko.. Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna Sasa kilichonifanya niandike mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja?

    Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja? Kweli Dogoli wa kufanywa Fala kwenye Jiji langu niliozaliwa tena Osterbay???😭😭😭😭😭 Bro ulioniuzia njoo DM kabla ya Kumtuma Jini langu Subiani Bin Sina Sudi...
  10. JamiiForums Tanzania Makapi ya mafuta si misingi ya Taifa

    "Vijana wa kizazi cha leo wanaamini afya iko kwenye mafuta; mihogo ya kuchemsha ni ya washamba, lakini ya kukaanga ni fasheni. Dagaa ni za maskini, lakini kuku wa kisasa anayewanenepeesha hadi wanaume kuwa na matiti kama wake zao ni starehe kwao. Halafu unategemea kupata taifa lenye vijana wenye...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mihogo na samaki Coco Beach si salama, kuwa makini unapokula

    Wakuu, habari za jumapili. Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana. Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula. Nilikula samaki na mihogo 2...
  12. JamiiForums Tanzania Muda mwingine huwa namiss uongo wa bill lugano, mwamba aliwahi kusema alitaka kujiua kwa sumu kisa beki3 wao hakumpatia mihogo

    Ila huyu mtoto wa kishua bwana, Bill Lugano natumaini ubize wa kusafiri nchi mbali mbali umekuweka mbali na JF
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tanga mihogo ina kemikali hatari ya sayanaidi inaathiri mishipa ya ufahamu mwilini hasa macho

    Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ndo maana Hersi anatuona kama sisi sote wala Mihogo

  15. JamiiForums Tanzania Confession about wauza mihogo coco beach

    Salaam wana jukwaa. Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH. Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia. Sasa kama wanajamvi naomba...
  16. JamiiForums Tanzania 'Aslay mihogo' inawaka moto muda huu

    Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.a Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha Moto ambao mpaka sasa chanzo chake...
  17. JamiiForums Tanzania Nampongeza sana Aslay Mihogo, vijana kuweni wabunifu

    Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia Samaki na Mihogo hadi unajiramba ramba. Basi aje mrembo mmoja PM kesho niende nae tena
  18. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua zaidi kuhusu kilimo cha muhogo

    Wakuu habari zenu naomba kujua zaidi kuhusu kilimo cha muhogo na changamoto zake na aina bora ya mbegu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…