Wabunge wameidhinisha Muswada wa Kenya Roads (Amendment) Bill, 2024, unaolenga kuanzisha njia maalum za waendesha baiskeli na watembea kwa miguu nchini.
Muswada huo, uliowasilishwa na Mbunge wa Samburu West Naisula Lesuuda, uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa Alhamisi, Agosti 13, 2026.
Iwapo...