mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
  2. JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara. Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  4. JamiiForums Tanzania Mifumo isiyoonekana inayojenga nchi

    Kwa kawaida Watu au waafrica tunapozungumzia maendeleo tunaongelea vitu kama Ajira,Miladi wawekezaji kutoka nje,mikubwa,Au kugundulika kwa rasilimali kama mafuta,dhahabu au gesi . Lakini kamwe hatuangali mifumo na nguzo hizi zinazotengeneza na kukuza uchumi. Nguzo ya kwanza : UAMINIFU Uaminifu...
  5. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mifumo mibovu ya Africa ,Kila muafrica anataka kufika Ulaya na Marekani

    Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia. Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24. Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?. Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri...
  6. JamiiForums Tanzania Community Coin Banks/ Street Coin Banks: Hii ni kwaajili ya sekta au watu wasio na mifumo rasmi ya maisha

    Habari Tanzania !.... Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo. Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinachofichwa kwenye graphic card na kwa nini mifumo yote ipo hapo

    Wakati sisi Afrika tunaendelea kuwa na maraisi wanazeeka wakiwa madarakani ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini. Graphics card kwa utambuzi rahisi unaweza kusema ni kwa ajili ya kupata muonekano na uwezo wa kucheza games. Ila kwa dunia ya sasa imekuwa tofauti sana mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Maelezo kwa undani jinsi mifumo ya Marekani ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu inavyofanya kazi

    Marekani hutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (layered missile defense system). Mfumo huu haufanyi kazi kwa kutegemea kifaa kimoja tu, bali ni mtandao wa satelaiti, rada, kompyuta, na makombora ya kujihami unaofanya kazi kwa pamoja. Hatua zake kuu ni hizi: Ugunduzi wa mapema (Early Warning)...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi upi ni umuhimu wa kuwa na Gridi ya Taifa kwenye mifumo?

    Nimekuwa nikisikiliza wabunge wakiomba mikoa yao kuunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa Je hiki kitu kina manufaa gan kwa nchi? Maana kwa mtazamo wangu naona kama nchi nzima kuwa na mfumo mmoja wa kusambaza nishati kama ya umeme ni hatari kiusalama Fikria sasa hivi karibia mikoa yote ipo...
  11. JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi ya viongozi

    1. Mfumo wa Almasi Diamond Formation ni mfumo thabiti wa ulinzi wa karibu unaotumiwa na makomando au walinzi binafsi kulinda usalama wa viongozi (VIPs) wanapotembea kwa miguu. Mfumo huu hupangwa kwa umbo la almasi ambapo kiongozi huwekwa katikati ili kumpatia ulinzi kamili wa nyuzi 360 dhidi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM imetengeneza serikali ya majizi na mifumo ya majizi na sasa kumeletwa machawa kuimarisha mifumo ya wizi!. Soma ushahidi hapa

    Hii nchi imeharibiwa sana na kutengenezwa kuwa pori kubwa sana yaani (the jungle of thieves,). Na walioshika mpini hawana mpango kabisa wa kutatua hii changamoto kwa sababu nyingi tofauti tofauti. Ushahidi wa haya mambo uko wazi na dhahiri sana, ikiwa ni pamoja na hiki kinachoitwa ziara za...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Vibali vya kazi kusafiri nje ya nchi kupitia Mifumo ya TAESA kwa waombaji/waliopata ajira nje ya nchi vinachelewesha na hakuna updates zozote

    Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo. Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
  14. JamiiForums Tanzania World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani

    Jiandaeni kwa El Niño. Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani, jambo ambalo linaongeza hatari ya matukio makubwa ya hali ya hewa katika miezi ijayo. Ingawa...
  15. JamiiForums Tanzania CHINA: Inaripotiwa kuwa waislamu wanalazimishwa kula nguruwe na kunywa pombe katika kambi za kudhibiti watu wasiotaka kufata mifumo ya uchina

  16. JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya usafiri imegoma kuingia katika mifumo ya kidijitali

    Habari wakuu. Leo natamani tujadili mapinduzi ya mifumo ya malipo kwenye sekta yetu ya usafiri wa umma, hasa hapa mjini ambapo kero ya chenji imekuwa ya kudumu. Kila siku tunashuhudia mabishano yasiyo na tija kati ya abiria na makondakta, jambo ambalo linaweza kuisha kabisa tukiamua...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimetuma maombi ya uhamisho Ofisi ya UTUMISHI, miezi mitano hakuna jibu, nini maana ya kuleta mifumo ya Kidigitali?

    Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote. Je, hii mifumo imekuja...
  18. JamiiForums Tanzania SAFARI YANGU: Nassoro Hemedi Kilimbite na Mapambano ya Nassoro TechTz – Huduma za Computer, Madishi na Mifumo ya Kidijitali

    Habari za muda huu Wakuu wa JamiiForums. Leo nimeona niingie mtaani kwenu rasmi. Jina langu ni Nassoro Hemedi Kilimbite, kijana wa kitanzania niliyezaliwa mwaka 2000. Mimi ni mmoja wa vijana wanaoamini kuwa teknolojia ndiyo mkombozi wa uchumi wetu wa sasa na chachu ya maendeleo kwa kila...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  20. JamiiForums Tanzania Je, mifumo ya TRA yote website ni IDRAS iko offline au shida iko upande wangu?

    Nimeona nilete hapa maana tangu asubuhi leo kila ninapotaka kuingia kwenye tovuti ya tra pamoja IDRAS sipati access kuna shida huko TRA TRA Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…