Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji
Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga...
Habari wanajamvi.
Kuna maeneo ardhi haikubali kustawisha zao fulani na wakati huo hilo zao linalohitajika sana katika eneo la wakazi husika.
Mimi niko eneo ambalo ni udongo kichanga sana, mazao jamii ya mbogamboga yanakataa kwa Sababu maji kunyauka mapema na udongo hauna rutuba.
Nimefikiria...
Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya.
Kwanza wanacheleweshewa wakati mifumo ya kustaafu inaeleweka mwezi mmoja kabla mtu hajastaafu.
Sasa kesha toka kazini na...
Waheshimiwa nakuja kwenu kwa heshima na taadhima siku ya leo, nahitaji magunia ya kuwekea tumbaku (Heysian bags). Hapo Tanzania naweza nikaipata wapi kwa bei nzuri?
MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
Habari,
Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm
Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
*Amesema Tanzania mambo ni moto moto
*Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush
*Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
Wakuu,
NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania
Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:<
1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji?
2. Kwanini riba ya...
Habari nduguzangu.
Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500.
Bei ya jumla inauzwaje?
Na je inakaa mingapi?
Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam.
Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku.
Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
Wapendwa wote habari za mwaka mpya 2025 !! Jamani kama kichwa cha habari nlivo kiweka hapo juu, naomba anaye weza kunipa ufafanuzi juu ya mifuko ya Utt na faida za uwekezaji katika sekta hiyo. Maana nimepitia nyuzi mbalimbali humu JF nikaona wengi wanazungumzia kuhusu UTT
Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa...
Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti
(Sio michango)
Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini wanafika au wanatakiwa kufika ibadani katika misikiti au makusanyiko ya kiibada, na hapo ndipo mahala...
JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI
Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
Habari waungwana wa humu.
Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..
Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.
Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
Nawasalim kwa jina la jamhuri
Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
Wakuu, naombeni ushauri tafadhari.
Nahitaji ushauri kwenye hizi 'side hustle'
Fenesi la kukata na kufunga kwenye makopo au miwa ya kufunga kwenye mifuko.
Ipi inatoka kwa haraka.
Asanteni sana
Ni mimi muuza magimbi +viazi.
Habarini Wakuu.
Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection'
Faida yake ,mashine zinazohitajika na mambo mengine mengine yote. .
Asante.
Nimepata kusikia kuwa endapo nyoka akiingia ndani ya makazi ya mtu au nyumba basi njia bora zaidi ya kumtoa bila kumdhuru ni kuchoma kitu cha plastic kama mifuko au ndala na ile harufu inamfanya atoke ndani. Je ni kweli dhana hii?
Je, ni kuchoma mifuko ya plastic au bidhaa iliyotengenezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.