mifuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
  2. Filaria

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastic ngum inauzwa

    Habari za muda wana jamii. Mifuko mbalimbali yakufungashia bidhaa mbalimbali inapatikana, pia mifuko inayotumika kwenye vituo vya afya (Disposing bags) pia inapatikana. Kama utahitaji nijulishe nitakutafuta
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  4. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata hii mifuko kwa bei ya jumla

    Wakuu habari Msaada: Naweza wapi nikapata aina hii ya mifuko kwa jumla na bei yake ikoje kwa hapa Dar....imeandikwa AL KHALEEJ SUGAR na mengine inaitwa WFP Nawasilisha
  5. kidadari

    JamiiForums Tanzania Je, mifuko iliyopo mtaani sio ya plastiki?

    Nimefanya utafiti nikagundua serekali imepiga marufuku mifuko ya plastic maafuku kama "Rambo" au "malboro" lakini kiuhalisia kama hatujatatua tatizo. Iliyopo mtaani ambayo tunaiita "Vifungashio" ila ukweli ni plastic iliyoboreshwa. Inakua disposed kwa kiasi flan lakini haimaanishi kuwa...
  6. Star onair

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm. Dear HR kama unabarua nyingi ofisini kwako ni pm. Msizichome moto tufanye biashara. Hata ofisi yoyote ambayo mmepokea application letter...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Urasimu uliopo katika mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Baada ya kutungwa kwa sheria ya mabadikiko katika mifuko ya hifadhi ya kijamii na Kubaki PSSSF na NSSF kumekuwa hakuna ushindani kabisa. Especially kwa Wazee wanapostaafu hupata shida sana kupata mafao yao kwa wakati muafaka. Pia kwa wale ambao hawajatimiza muda wa kustaafu wamekuwa...
  8. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
  9. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Mdee na Bulaya kwa kuzungumzia mifuko ya Hifadhi ya Jamii Bungeni

    Habari zenu wadau. Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni kutetea wastaafu ambao ndio wachangiaji na wanufaika wa mifuko hii. Ni mara nyingi tumesikia wabunge...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
  11. hazard Don

    JamiiForums Tanzania Mifuko yenye Nembo ya Kuhifadhia mikate inahitajika

    Habari wakuu, Katika harakati za kutafuta maisha nimeamua kufanya biashara ya kupika na kuuza mikate. Kama mnavofahamu Mifuko imepigwa marufuku ,hivyo ili kufunga mikate inatakiwa ile Mifuko iliyopigwa Nembo ya muuzaji ya kuuza Mkate. Nimejaribu kumuuliza Jamaa yangu yupo Dar es salaam...
Back
Top Bottom