miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulega Ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi - Ampa Miezi Mitatu Likamilike

    ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI-AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana ahukumiwa miezi 6 jela kwa kuva sare za JWTZ ili kumshawishi mchumba wake kuwa yeye ni Askari

    Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

    Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wasanii walioweza kutoa ngoma zilizokimbiza chati zaidi ya miezi 6

    Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa. ana ana ana dooo kachani ka basto displine matido lalalalalahhh. ×2 Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

    Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga. Wakati huohuo Bandari ya Tanga imefanikiwa kuhudumia meli 172 ikiwa ni zaidi ya lengo la kuhudumia...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

    NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
  8. JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga yaingiza mapato ya Tsh bilioni 100, Katika kipindi Cha miezi 5.

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

    Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali. Walipoulizwa juu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  11. JamiiForums Tanzania Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, ndani ya miezi miwili kafanikisha kumpatia Sativa vibali vya kuishi Ubelgiji.

    Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi. Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi...
  12. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

    Nimekutana na interview moja YT, billionaire Mo akifanyiwa na YouTuber (@AhmadMaamoud Show) ambapo Mo amesema alinunua Bugatti Chiron (hajataja model year) kwa $ Mil 4 lakini alivyoenda kuicheki akaogopa speed akaiuza na anasema akapata faida ya € 500,000. Pesa aliyouza faida yake akanunua...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  14. Q

    JamiiForums Tanzania CCM haina Makamu Mwenyekiti kwa miezi sita sasa

    Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo. WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  16. JamiiForums Tanzania Maiti ya Mchungaji John Chida iliyosubiriwa ifufuke kwa miezi miwili yazikwa Iringa, Agnes Mwakijale anashikiliwa na Polisi kwa kuishi na Maiti

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa. Mwili wa mchungaji huyo ambaye alifariki dunia Oktoba, uligunduliwa Desemba 3, mwaka huu ndani ya nyumba yake ukiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina ya Lenovo inauzwa, imetumika miezi minne tu

    Wakuu, kimfaacho mtu chake. Nina hali mbaya kiuchumi aisee, nimeamua kuuza laptop yangu aina ya lenovo RAM 8 GB Storage 256 GB Bei ni 550,000/=maongezi kidogo yapo. Kwa mwenye kuihitaji anicheck inbox tu tuyajenge.
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

    Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Ikimba amehukumiwa kifungo cha nje miezi 12 pamoja na kumlipa fidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…