miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. Ni sahihi kwa mtoto wa miezi mitatu (3) kua na uzito wa kilo saba? (7)....

    Wakuu naombeni ushauri, ni sahihi kwa mtoto wa kike wa miezi mitatu kua na uzito wa kilo 7? ......
  2. Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  3. Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  4. R

    Kazi nyingi serikalini zinahitaji elimu ya form 4 na training ya miezi 6 tu, ndio maana wapo waliochakachua vyeti huwezi kuwagundua

    Ndio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training miezi 6 tu. Mwanafunzi wa field yupo diploma anaweza kumpokeza kazi mfanyakazi mwenye mwenye masters, ila akiajiriwa elimu...
  5. Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

    Ivi nikawaida kwa mwanamke ambaye ameolewa kukaa miezi miwili mpaka 4 uko bila kupata feeling zozote Za kufanya tendo la Ndoa na mume wake ?
  6. Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  7. Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  8. Kama wewe ni Mbunge fahamu tu umebakisha miezi mitano tu kuanzia sasa .

    Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni . Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana . Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).🇹🇿
  9. Hitimisho baada ya miezi 15 ya kupondwa Hamas na vibaraka wake, haimaniishi ndio kukoma kwao lakini pia haimaanishi ndio pumziko lao

    Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa. Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa. Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo athiri duniani kote. Tumejifunza na kujua kuwa ile ni vita ya kidini na itikadi. Ni vita ambayo...
  10. Waziri Ulega ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi, ampa miezi mitatu likamilike

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika...
  11. Ulega Ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi - Ampa Miezi Mitatu Likamilike

    ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI-AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi...
  12. Kijana ahukumiwa miezi 6 jela kwa kuva sare za JWTZ ili kumshawishi mchumba wake kuwa yeye ni Askari

    Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
  13. PreGE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

    Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
  14. Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  15. G

    Hawa ni wasanii walioweza kutoa ngoma zilizokimbiza chati zaidi ya miezi 6

    Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa. ana ana ana dooo kachani ka basto displine matido lalalalalahhh. ×2 Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto...
  16. Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

    Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga. Wakati huohuo Bandari ya Tanga imefanikiwa kuhudumia meli 172 ikiwa ni zaidi ya lengo la kuhudumia...
  17. Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

    NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
  18. Bandari ya Tanga yaingiza mapato ya Tsh bilioni 100, Katika kipindi Cha miezi 5.

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe...
  19. A

    KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

    Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali. Walipoulizwa juu ya...
  20. Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…