miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Tanganyika iliishi miezi 28 tu?

    Umoja ni Nguvu. Kwa hiyo kuungana na kuwa kitu kimoja ni jambo jema. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lilikuwa pigo kubwa kwa Tanzanyika.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Banebane, Tabata: Maji hayatoki zaidi ya 5 sasa, DAWASA tusaidieni

    Wakazi wa Tabata Banebane eneo la Katoma, kipande hicho hakina maji ya mgao wala maji ya aina yoyote kwa kipindi cha miezi 5 na zaidi. Majibu ya wahusika ni kwamba ooh kuna merekebisho, wakanganya sasa wanasema kuna mradi wa bomba haitoshi. Baada ya kadhia hiyo ya muda mrefu, ndio wanakuja...
  3. JamiiForums Tanzania Mkemia natafuta kazi nina experience ya miezi 10 kama quality controller

    Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2005 Ulisogezwa Mbele Kwa Mwezi Mmoja na Wiki Mbili

    Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005. Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe. Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke hata miezi sita hatujafika na ashaanza kunipiga vizinga

    Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto wa miezi 9 kutopenda kula

    Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje? Asanteni.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye moango wao wa nyuklia-Grossi

    "Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur. Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi minne kukosa choo

    Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna diary zangu niliziandika kwa mda wa miezi sita mwaka 2022 nilikuja kuzichoma moto

    Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi Mwaka 2022...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Kiintelijensia yasema kuwa Marekani Imerudisha Program ya Nyukilia ya Irani miezi mchache tu nyuma

    Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma. Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv Used - Ime tumika Miezi 2

    Aina: Hisense Inch: 55 4K Tv A6 Series Bei: 850,000 WhatsApp: 0718 380 277
  14. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tamisemi ni miezi miwili hawajatuma fedha za elimu bila malipo mashuleni

    Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
  16. JamiiForums Tanzania Simba yamponza Heri Sasii, afungiwa miezi 6 kwa kushindwa kumudu mechi dhidi ya Singida Black Stars

    Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Leo pale Kisutu kama sio busara za mahakama watu walikuwa wanaenda kula miezi sita gerezani kwa contempt of court

    Kuweni na adabu mahakamani, huwezi muona hakimu kakaa pale wewe unapiga makelele ya kijinga no reform no election. Wengi tumewahi kwenda jela kwa milio ya simu zetu tu, wengine tumekula vibano jela kwa kucheka mahakamani. Mahakama iheshimiwe, unajitia mwendawazimu sasa, umehangaika kimataifa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Friji friji friji linauzwa

    Aina: Boss Hali: Nzuri sana,bado lina manailoni ya upya,lina miezi 10 toka linunuliwe jipya. Mahali: Mbagala. Sababu: Limekaa tu,halina matumizi. Bei: Tsh.430,000/=(Negotiable kidogo) Mawasiliano: 0785815222
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miezi sita ijayo CHAUMMA itarudi kwenye uhalisia wake

    Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo. Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge. Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko. Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…