michezo

  1. JamiiForums Tanzania The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds, Master Tindwa aliyepigwa risasi azikwa leo (Novemba 3, 2025)

    Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili. Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi. Leo mwili wake umepumzishwa katika “nyumba yake ya milele”. Aliwahi kufanya kazi Radio One na ITV Pumzika salama ndugu yetu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 KNOCKOUT YA MAMA: Michezo, Siasa au Rushwa kwa Jina la Zawadi?

    Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
  4. JamiiForums Tanzania Uuzaji wa viwanja kwa mfumo wa TAUSI ni kama kuna michezo hivi

    Mfumo wa TAUSI ambao unanunua viwanja moja kwa moja serikalini una uzuri na ubaya wake. Ni mara ya pili sasa najaribu kununua viwanja ambavyo vimeandikwa viko manispaa ya Kinondoni na navikosa. Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa tano kama sio wa nne mwaka huu ambako vilitangazwa viwanja Mabwepande...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mtanzania anaweza kwenda China na kuwekeza kwenye michezo ya kamari kama za Madubwi.

    Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
  6. JamiiForums Tanzania Ni furaha kubwa,hakika michezo huunganisha watu,wakenya wapo njiani kuishangilia morocco!

    Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti, Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    https://www.youtube.com/watch?v=3lNNwCmNJQ0
  8. JamiiForums Tanzania REKODI ZA MAMA KATIKA MICHEZO

    Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee........... Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania. HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana ! Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  10. JamiiForums Tanzania MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

    Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki. Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hans anafaa kuondolewa katika kipindi cha michezo CrownFM, anajenga chuki isiyo na ulazima

    Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa. Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu. Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuingilia michezo sio dhambi, haya hufanyika duniani kote

    Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata...
  15. JamiiForums Tanzania Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

    Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽ Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa. Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

    Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui. Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔 Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo? Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo...
  17. JamiiForums Tanzania Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!

    Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!😂
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Ubunifu: michezo ya watoto

  20. JamiiForums Tanzania Sanaa za Michezo Zinapewa Kipaumbele Katika UMITASHUMTA & UMISSETA

    SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA Ngoma za asili, kwaya na Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flavor) ni sehemu ya fani ambazo zimekuwa zikishindaniwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Tanzania kwa shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA &...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…