Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga.
Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
Anonymous
Thread
bila
bomba
dawasa
kukarabati
maji
mazingira
mbili
michango
pugu
rushwa
waomba
wiki
wiki mbili
Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa.
Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise.
Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya michango yetu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) kutoingizwa kama inavyotakiwa licha ya kwamba...
Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo.
Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo...
Kero yangu inahusu shule ya sekondari Mbagala Kuu iliyopo Manispaa ya Temeke. Kila mara shule hii imekuwa ikiwataka wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya mitihani ya majaribio.
Kwa mfano, wazazi tulichangishwa Shilingi 2,000 kwa ajili ya Mock Kidato cha pili, na sasa tumeombwa tena kuchangia...
Anonymous
Thread
kero
kuu
lazima
mbagala
michango
mitihani
sekondari
wazazi
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa.
Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
fomu
fomu za maadili
haja
ili
kujaza fomu
kuzuia
maadili
mabaya
madaraka
michango
ofisi
sheria
shughuli
siasa
viongozi
vyama
vyama vya siasa
wakuu
wote
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze...
Anonymous
Thread
chamazi
mbagala
michango
msingi
shule
shule ya msingi
walimu
Miaka 16 iliopita
What will happen miaka 15 ijayo.
Ukijiangalia wewe hapo miaka mitano iliopita upo vile vile , upo stuck katika matrix ya kipato cha kupanda kati kati na chini (chini ndio usual suspect wako) huku gharama zikienda juu zaidi.
Ili upate cha juu lazima uwe na bahati ya kucheza...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa.
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini.
Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
Anonymous
Thread
arusha
michango
mmoja
moyo
mwaka
mwaka mmoja
nssf
yangu
zaidi ya
I hope mko poa wakuu.
Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi.
Kuna;
-Mchango wa ujenzi...
Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?
Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k
Laki moja imekuwa sasa kama trend.
Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu
Hivi haya yootee ya nini, jamani,
Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
Jamani huu ni mtazamo wangu tu. Mimi napenda sana magroup ya classmates sana sana na ya kazini pia nayapenda uzuri ya kazini hawana tabia kama ya classmate wako sawa tu..haya ma-group yanatupa nafasi ya kuwasiliana, kubadilishana mawazo sometimes kunyapia nyapia baadhi ya mademu ma crash...