miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani. Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
  2. GE2025 Nitaumia sana kama mgombea urais Samia Suluhu akishinda na kutuongoza kwa miaka mitano ijayo

    Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030 Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko SIONI NURU KABISA MUNGU IBARIKI TANZANIA
  3. DAWASA huwa hawajifunzi kuwa miaka yote mwezi wa 9 na wa 10 wakati wa kiangazi kuna shida ya maji!

    Katika mambo ambayo yananshangaza sana ni namna shiriki la dawasa linavyoongozwa mfano mwezi wa tisa na wa kumi kama mvua za vuli zikichelewa kunyesha kuwa na uhakika kunakuwa na shida ya maji kwa sehemu kubwa ya mkoa wa dar es salaam Na ukiwauliza wanakupa majibu marahisi huu ni wakati wa...
  4. Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  5. B

    Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

    Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k Sifa zangu. Najishughulisha Mpole Siyo muongeaji sana Mkweli na muwazi Kimo cha kawaida Rangi maji ya kunde Mwili wa kawaida Sifa za rafiki...
  6. Je, ajira mpya zaidi ya elfu 17 zilizotangazwa na Serikali ni kupunguza vuguvugu la vijana kuelekea uchaguzi mkuu?

    Ni nani Miongoni mwenu angeweza amini Hawa Vijana wa TikTok , wenye Miaka 18,19,20,21 ni Tishio Kwa Samia?. Sasa tazameni Kutoka Kwa LISSU Hadi PADRE KITIMA Hadi POLEPOLE Hadi MDUDE hadi Vijana wa miaka 18, 19, 20, 21. Kwa Mama mwenye Akili, Hawa bado ni watoto Kwa namna yoyote wanayobehave ...
  7. Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru, ila ni kama hatuna uhuru

    Miaka 60 baada ya uhuru Tanzania hatuna wasomi wakuendesha bandari zetu mpaka tusaidiwe na waarabu? Miaka 60 baada ya uhuru bado kumiliki gari Tanzania ni anasa! Miaka 60 baada ya uhuru kuikosoa serikali ni makosa! Miaka 60 baada ya uhuru bado watanzania vilio vyao ni maji na umeme? Miaka 60...
  8. R

    GE2025 Agnesta: Kwa miaka kumi Segerea ni kama haikuwa na Mbunge

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  9. GE2025 Agnesta Kaiza: Rais Mama Samia alisema mimi kama mwanamke lazima nimtue mwanamke wa kata ya Kisulu ndoo kichwani kwa kumpelekea maji

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara. Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  10. Ukishafika miaka 40 STAAFU

    Japokua umri wa kustaafu hua ni miaka 60 uliozoeleka ila kwa jinsi mwili ulivotengenezwa peak performance yake ni miaka 35 baada ya miaka hio viungo vyote ya mwili hua vimefika kikomo katika ufanisi wa kufanya kazi kwa ufasaha, mbelen ap inategemeana tu Mungu alivokubariki ama kama ulijitunza...
  11. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
  12. GE2025 CCM imewezaje kudumisha propaganda ya kisiwa cha amani kwa miaka 60?

    Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa...
  13. Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  14. Car Service Episode 2/10: Coolant na brake fluid zinatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka miwili au km 40,000!

    Wakuu, kwema? Wengi tunabadirisha engine oil kila mara, lakini tunasahau fluids zingine muhimu sana, mfano coolants na brake fluids. Leo kwenye muendelezo wetu wa service, tuzungumzie coolant na brake fluid ambazo zikipuuzwa zinaweza kuharibu engine au system ya breki au zikakupa majanga...
  15. Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  16. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  17. Watu walionunua teuzi na wale waliohaidiwa majimbo 2025 wakisaliti harakati za ukombozi wamenikumbusha wale walioweka pesa DECI miaka ya 2000

    Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo. Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa serikali kandamizi.Waliunga juhudi muda ambao ndugu zao ambao walikuwa wanafanya harakati pamoja wakiwa...
  18. H

    🎉 Hatimaye Miaka 2 ya SmartBusiness Startup 🚀

    Miaka miwili sio safari ndefu sana, lakini kwa sisi SmartBusiness imekuwa kama karne nzima ya mafunzo, uzoefu na changamoto.. Tulianza kama ndoto kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati Africa kuacha daftari na kalamu na kutumia zana za kidigitali kusimamia biashara zao. Safari haikuwa...
  19. Traditional Media kama TV & Radio zinaenda kutoweka miaka ya mbeleni na hii ndio sababu

    Ukweli mchungu ni kwamba traditional media (TV, Radio, Magazeti) zipo kwenye kipindi cha mpito. Watu wengi wanahamia kwenye digital & on-demand content kwa sababu wanataka control (wao ndio wadhibiti nini waone au wasione), freedom (uhuru kupata habari yoyote) na diversity (habari za maudhui...
  20. B

    Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…