miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume Tafuteni pesa, ukiwa na pesa utaitwa babes hata uwe na miaka 90

    Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter. Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress for the wedding.
  3. JamiiForums Tanzania Skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.

    Hizi ni skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa. Kwa kutumia AI Agency, usipojiongeza mapema utapunguziwa mshahara au utafukuzwa kazi Ai agent ni nini...? Hizo skills ni zipi..? Kitakachochukua kazi yako sio...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi nilimaliza chuo na miaka 33 kipata ajira na miaka 34 nikaoa na miaka 35

    Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34. Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
  5. JamiiForums Tanzania LHRC: Tuna taarifa Masheikh 51 bado wanashikiliwa katika magereza kwa miaka 10 sasa bila kufikishwa mahakamani

    KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU Machi, 10 2025, Dar es Salaam Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Masheikh hao waliachiwa huru baada ya Jamhuri...
  6. JamiiForums Tanzania Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

    Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu Wamuulize luiza mbutu na dotinata Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni Na ya mkia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya kupunguza miaka ili uonekane mdogo inasaidia nini?

    Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..? Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema...
  10. JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Imenikumbusha utotoni miaka ya Tisini

    I can pay any amount of money to back to the 90s and early 2000s.
  12. JamiiForums Tanzania Osama Bin Laden hakuuawa! Miaka zaidi ya 10 sasa

    Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake? Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Miaka ya 1990 hadi 2000 video za watu kuchinjwa zilienea sana mitandaoni

    Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
  14. JamiiForums Tanzania Van Damme na Bolo Yeung wakiwa apamoja tena miaka 37 baadae

    Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung. Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae. Ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  16. JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". 😂

    🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iongeze umri wa kuanza kubeti (na sisi wenye miaka 14 tupewe nafasi

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+. Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea. Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
  20. JamiiForums Tanzania Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…