miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JKT hata ukae miaka 5 hakuna ujuzi wa maana utakaoupata kiasi kwamba utaleta challenge mtaani

    Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita . VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani. VETA cheaper ukilinganisha...
  2. Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha. Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35...
  3. Peru: Kashfa ya Chanjo yapelekea Rais wa zamani kupigwa marufuki kushika wadhifa katika ofisi ya umma kwa miaka 10

    Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
  4. Shinyanga: Babu abaka Mjukuu wake wa miaka 7 wakati Bibi akiwa amelazwa Hospitalini

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa Nhelegani katika Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kubaka. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Aprili 17, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, tukio hilo...
  5. Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  6. Somalia yakosoa vitisho vya nje baada ya Rais kuongezewa miaka miwili madarakani

    Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili. Washirika muhimu wa kigeni wamekemea uamuzi huo wakisema kumuongezea muda Rais Mohamed Abdullahi unatishia...
  7. Kati ya Watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani, Watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana na familia zao kuwa duni

    KATI ya watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani,watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana hasa na familia zao kuwa duni hivyo kushindwa kuinua uchumi wa familia hizo. Pamoja na hilo, hali ya usajili katika mfuko wa Bima ya afya ya jamii (CHF)hairidhishi ,hadi sasa ni kaya 10,038...
  8. Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

    Iko hivi; Kuna dada fulani hivi tuliwahi kufahamiana huko nyuma, alinipigia simu na kunijulisha kwa kina kuwa kuna mchongo fulani hivi kashawishika kujiunga nao ni wa Q-net. Wenyewe unatakiwa mtu unahudhuria semina zao mbili then utatakiwa kujiunga kwa shs. Milioni tano na laki tano...
  9. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
  10. T

    Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

    Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa? Kairuki ndani ya miaka 3: Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Octoba 2017- Waziri wa Madini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…