miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
  2. JamiiForums Tanzania Nina miaka 16 tangu nianze kufuatilia soka lakini swali hili limenichanganya

    Habari za mwamko waungwana, nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata majibu. Kwa mfano timu A inacheza na timu B, Timu A wakapata penati, mchezaji wao akaipiga na kipa wa timu B akaitema mpira ukarudi uwanjani na kumkuta mchezaji mmojawapo wa timu A akafunga. Je, hilo bao litahesabiwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni Miaka ipi Watanzania mlikuwa mnapata vitu bure? Kwa mujibu wa Rais Samia

    Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia? Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Sifa zake: 1. Awe na hofu ya Mungu. 2. Awe tayari kupima HIV. 3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu 4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu. 5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k. 6...
  5. JamiiForums Tanzania CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

    WanaJf, SALAAM! Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK 1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura; 2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

    Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

    Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi? Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.? Naamini shida sio TANESCO...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati hadi Ethiopia wanafanikiwa kupanda miti bilion 20 kwa miaka 4 sie huku tunaendekeza tu wafugaji kukata miti

    Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022 Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Wakuu Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini ,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road, Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

    Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya Uspika na 35 ya Uwakilishi Bungeni, Spika Pelosi kujiuzulu rasmi

    Spika wa 52 wa Baraza la Wawakilishi na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo akiwa kiongozi wa chama cha Democratic kwa miaka 19, ametangaza hatua hiyo baada ya kuhudumu kama Spika mara 2 kwa miaka 15. Amekuwa Mwakilishi Bungeni kwa miaka 35 tangu mwaka 1987 na kisha kuwa Spika mwaka 2007...
  13. JamiiForums Tanzania Haukumiwa miaka 8,659 jela

    Mahakama moja ya mjini Istanbul nchini Uturuki Jumatano imemhukumu mtu mmoja kifungo cha miaka 8,658 kwa kujihusisha na wanawake ambao hawakuwa wamejistiri vizuri aliokuwa akiwaita “paka”, chombo cha habari katika eneo hilo kimeripoti. Adnan Oktar, aliongoza vipindi vya televisheni akionekana...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  15. JamiiForums Tanzania Simulizi: Miaka 25 ya upweke ilivonifanya kuwa binadamu wa tofauti

    Kwasababu fulani fulani hii story imeondolewa Itaendelea............
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kutana na M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda mwenye umri wa miaka 20

    Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20. Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi. Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti. Jina...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

    Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini. Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

    Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi? Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana. 1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia...
  19. JamiiForums Tanzania Huu wimbo umetulea miaka ya 90

    Kuna nyimbo hazitakuja kupotea vizazi mpaka vizazi kwa sababu maDJ wanarithishana kadri miaka inavyokwenda mbele. Kuna nyimbo moja ya sebene au rumba ya congo nimeisahau inaitwaje lakini itakuwa imepigwa kqmq sio Wenge Musica/BCBG basi ni Extra Musica. Kuna mahali jamaa anasema "Ayaya msingwemba...
  20. JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji afungwa miaka 2 na kutakiwa kurejesha Tsh. Mil 35.7 baada kifungo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo. Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…