miaka 40

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

    Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
  2. ERTUGRUL BEY

    Huwa tunamaanisha nini tunaposema maisha huanza kwenye miaka ya 40?

    My people, Kuna msemo unaonong’ona ukweli usiopenda kelele: maisha huanza ukiwa na miaka 40. Si kwa sababu ujana unaisha, bali kwa sababu akili inafunguka kama dirisha lililofuliwa vumbi. Hapo ndipo mtu huacha kukimbia ovyo na kuanza kutembea kwa mwelekeo 1. Miaka 40 ni umri wa ufahamu Katika...
  3. stakehigh

    Ukishafika miaka 40 STAAFU

    Japokua umri wa kustaafu hua ni miaka 60 uliozoeleka ila kwa jinsi mwili ulivotengenezwa peak performance yake ni miaka 35 baada ya miaka hio viungo vyote ya mwili hua vimefika kikomo katika ufanisi wa kufanya kazi kwa ufasaha, mbelen ap inategemeana tu Mungu alivokubariki ama kama ulijitunza...
  4. Tanzaniavate

    Wazo la Kijana: Jinsi ya Kutajirika Kabla ya Miaka 40, Usikubali Kuitwa "Masikini"

    HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
  5. M

    Natafuta mume asizidi miaka 40

    Mimi ni mama wa miaka 23 Niko Dodoma Kazi mtumishi Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
  6. L

    Kocha wa mchezo wa sarakasi wa Kenya afurahia uhusiano wa zaidi ya miaka 40 na China

    Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia. Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
  7. M

    Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Hanari. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea ambaye atakuwa mke wangu. Awe mkristo na mwenye upendo. Pia asiye na familia kwa maana asiwe na mtoto. Ni PM namba Yako kama upo serious
  8. Zee la madawa

    Hivi Yesu aliwezaje kuishi bachelor kwa miaka 40?

    Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo? Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
  9. Kusini pride

    Wakristo tunasema kwamba mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi huyo?

    Wakristo tunaamini mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi? Huyu huyu ambae alikuwa bachelor kwa miaka 40 ambaye hakua na mke wala kuonekana na mke? Kama yeye mwenyewe tu alishindwa kuishi na mke sasa ataweza vp kunipatia mke? Mbona ni kitu ambacho haliwezekani? Busu la Kenge
  10. MamaSamia2025

    Mwanaume wa chini ya miaka 40 usiyeweza kukimbia hata 5km jitathmini sana endapo huna ulemavu au changamoto za kiafya

    Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI. KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za...
  11. Dennis Robert Shughuru

    Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    Wimbo wa “We are the World” watimiza miaka 40 tangu ulipoachiwa

    March 7 mwaka 1985 baadhi ya wasanii waliounda kundi la “USA for Africa” walitoa kibao cha We are the World. Lengo kuu la wimbo "We Are the World" lilikuwa ni kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa njaa na umaskini uliokuwa ukiathiri sana nchi za Afrika, hasa Ethiopia, katika miaka...
  13. Yoda

    Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

  14. Now and then

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  15. tajiri wa fikra

    Mabroo wa miaka 40+ tupeni ushauri namna ya kuukimbia umaskini,vijana mnaojitafuta pitienj huku!

    Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa...
  16. GENTAMYCINE

    Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  17. M

    Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani? Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
  18. The Dictator

    Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  19. Equation x

    Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

    Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:- Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
  20. JF Member

    Josua alikua msaidizi wa Musa kwa Miaka 40+. Lissu miakamitano tu kashautaka ukuu

    Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?. Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
Back
Top Bottom