miaka 15

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
  2. JamiiForums Tanzania Jela miaka 15 kwa kujaribu kumbaka bibi kizee miaka 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80. Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya viwanda miaka 15 ijayo

    Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na mkakati thabiti zinahitajika. Mkakati huu unapaswa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Kuimarisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

    Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

    Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris. Marejeo na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi na ufisadi. Tanzania tuitakayo miaka 15 ijayo

    Kutokana na kila kiongozi /watumishi wanao teuliwa na viongozi wakuu ,mfano rais kuendeleza ufisadi karibu kila secta. Kutungwe sheria maalumu itakayo tumika kuwa filisi ,kutaifisha mali za mtuhumiwa au kunyongwa. Tuhakikikishe kunakua na tasisi maalumu kutoka (NGOS ) mashirika yasiyo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

    Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo).. Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya...
  8. JamiiForums Tanzania Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

    Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja. Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote. I real don't...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima amlaumu Halima Mdee kwa mafuriko ya Dar-es-Salaam siku ya leo

    Mwandishi: Kusaidia kwenye hii janga, sijui ungependa kutuambiaje? Gwajima: Kwanza hii hali ni hali ya kusikitisha sana, ni hali ya hatari, mbaya na hali ya kuhuzunisha kwelikweli na mimi hata siamini mtu anaweza kuruhusu wananchi, binadamu wakawa na hali ya maisha hii. Kwa miaka kumi na...
  11. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Ukikutwa unamiliki silaha kinyume cha Sheria Faini Milioni 10 au Jela miaka 15 au vyote

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea kuwakumbusha wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Daktari feki jela miaka 15 kwa kusababisha kifo

    Muuguzi Amos Masibuka (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kujifanya daktari kwa kumfanyia upasuaji Lukwaja Selemani (78) na kumsababishia kifo. Licha ya kwamba alikuwa hana sifa za kuwa daktari, muuguzi huyo maarufu kwa jina la Dk Amos, alikuwa akitoa huduma...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wanaoshangaa ama kukataa kuamini watoto wao kuanza mapenzi chini ya miaka 18 huwa wanajifanya hawajui ukweli au kudhani umri huo bado mtoto?

    Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii. Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  16. JamiiForums Tanzania Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo. Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
  17. JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

    Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi. Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF. Kama una...
  18. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani wa Belarus apewa kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za kupanga mapinduzi

    Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapinduzi. Uamuzi huo yeye ameutaja kuwa adhabu ya kujaribu kukuza demokrasia ya Belarus...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Bonde la Usangu

    Hello Tanzania! Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia. Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi waliokuwa wanalima Bonde la Usangu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha. Mgogoro huu umedumu miaka 15 bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…