Kwa miaka mingi wakazi wa Baringo walimfahamu kama Father Sandro. Leo, Sandro Ferretto, 55, raia wa Italia na aliyekuwa padre wa Kanisa Katoliki, ameanza ukurasa mwingine wa maisha akiwa mume.
Ferretto amefunga ndoa ya kimila na Sharon Jepng’ok, mwanamke wa jamii ya Tugen, kupitia sherehe ya...