Kumbukumbu: Miaka 12 iliyopita siku kama ya leo - Man Utd 8-2 Arsenal

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Hakika Sir Alex alikuwa mwalimu wa mpira.

Siku kama ya leo, miaka 12 iliyopita, Sir Alex Ferguson aliiongoza Man Utd kuinyoa Arsenal 8-2.

Ni pambano la kukumbukwa sana. Arsenal ilikuwa chini ya Profesa Arsene Wenger.

Hii mechi uliicheki ukiwa wapi?
226C1730-7456-4C38-B5D5-96A135F1DC70.jpeg
 
Hakika Sir Alex alikuwa mwalimu wa mpira.

Siku kama ya leo, miaka 12 iliyopita, Sir Alex Ferguson aliiongoza Man Utd kuinyoa Arsenal 8-2.

Ni pambano la kukumbukwa sana. Arsenal ilikuwa chini ya Profesa Arsene Wenger.

Hii mechi uliicheki ukiwa wapi?View attachment 2731403
Hii siku ndio niliichukia rasmi man u.
Nakumbuk kuna jamaa alikuwa boss wa kambun flani jirani na home halaf ni shabiki wa arsenal siku hiyo akalipia watu nauli kwenda mjini kuangalia hiyo game baada ya mechi tulirudi kwa miguu.

So nikaapa kwamba timu yoyote itakayoifunga man u ndio itakuwa yangu. Siku sio nyingi akapigwa sita na man city. From that day am a citizen
 
Back
Top Bottom