Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli
Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia...
Husika na mada tajwa hapo juu:
Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi.
Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
Mhalifu wa kivita aliyepatikana na hatia nchini Uganda ametangaza vuguvugu jipya la waasi lililo na nia ya kuiangusha serikali katika jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo, na kusababisha tishio jingine la usalama katika eneo hilo lililokumbwa na vita.
Kuundwa kwa kundi la Azimio la Mapinduzi...
Wakati ambao Poland (wanaopinga kupokea uhamiaji holela) wana enjoy kwa amani maandalizi ya Christmas...
Wao Ujerumani wanalipia kwa damu kutokana na huruma na msaada wao wenyewe.
Huyu jamaa ni mmoja ya Waarabu wengi waishio Ulaya kwa amani na utulivu. Vitu ambavyo hawakuvipata walipokuwa...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023.
Tukio la wizi lilivyokuwa
Dada mmoja...
Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani.
Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe.
Cha...
Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mhuni na mhalifu na kuleta mkanganyiko pale wanapotaka kufahamu tofauti ya watu hawa wawili.
Mhuni ni mtu yeyote aliyeamua kwenda kinyume na maadaili mema au utamaduni huku mhalifu ni mtu yeyote aliyevunja sheria.
Mhuni anakosa maadili mema na...
Wakuu,
Hali imekua mbaya sana. Shemeji yenu amefikia critical point yaani ananisaka kwa kila mbinu. Ikipita saa tu atauliza UKO WAPI?
Sasa kwani ndio nimekua mateka wake au? Maana hata sielewi ni kama nipo kifungoni.
SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI.
- Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan.
- RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
Ndugu wanabodi mimi sio mjuzi sana wa sheria, ila kwa ninavyosikia ni kwamba mtuhumiwa yeyote anao uhuru wa kutafuta mwanasheria au wakili wa kumtetea katika kesi inayomkabili.
Ndipo swali langu linapokuja kwamba, kwa kuwa mambo ya haki hasa inayotolewa na mahakama hupatikana kutokana na...
Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi.
Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia.
Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
Ni nani?
Katumwa na nani?
Yuko na akina...
daraja la selander
hamza
kukamatwa
kupambana
kuuawa
majeshi
mauaji dar
mauaji ya polisi
mbinu
mhalifu
mikono
police
polisi
polisi tanzania
risasi
selander bridge
shujaa
tukio
uhalifu
wakati
weledi
YEYOTE ANAWEZA KUWA MHALIFU.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Nimemsikiliza Kamanda Siro Kwa umakini mkubwa, nikaona nami nitoe machache haya Kwa ajili ya kujifunza Kwa wapenda kujifunza, andiko hili halitamlenga yeyote, isipokuwa ni andiko linaloweza kumlenga yeyote aliye mwanadamu, iwe Mimi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.