mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

    Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani? Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers...
  2. R

    Mgombea wa Urais wetu kutoka TLP

    Kweli mama yetu unagombea na huyu?
  3. Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  4. Polepole ana akili kubwa sana anachofanya NI kujitengenezea mazingira mazuri Sana ya kuja kuwa mgombea urais 2045.

    Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola. Hiyo NI move nzuri Sana...
  5. M

    GE2025 Ilani za CCM huendana na umahiri/uthubutu na uchapakazi wa mgombea? Ilani ya 2025/2030 watanzania tuikataeni

    Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini? Haiainishi...
  6. Tukio la Kutekwa kwa Ndugu wa Mgombea Udiwani CCM Sirari

    Sirari, Tarime – Mara Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime. Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
  7. Wito: Tubadilishe Katiba, Samia sasahivi ni Rais au ni mgombea wa Urais?

    Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU, Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
  8. GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  9. Chama cha NRM champitisha Museveni kama mgombea wake wa Urais kwenye Uchaguzi wa mwaka 2026

    Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula...
  10. Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  11. Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  12. Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  13. Kanuni za Mapingamizi ya Mgombea haya hapa

  14. GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  15. GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

    Tuseme tu ukweli. CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi. Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani...
  16. GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  17. P

    Vyama vya kisiasa vyaa anza uchunguzi kuhusu mgombea urais wa ICT.

    Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama inavyoelezaa kwa mgombea urais vifungu vya sheria 6A(2) na 4(5)b vikieleza sifa za mgombea uraisi...
  18. GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  19. T

    Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  20. Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

    Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’ Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo. Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…