mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

    Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia. Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki. Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka. Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini? Walishasema ufisadi na mambo mengineyo. Hawa...
  2. R

    Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  3. Ipi nafasi ya Tanzania katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo (DRC)?

    Kinachoendelea Mashariki mwa Congo DRC si mgogoro wa mbali kama wengi tunavyodhani. Huu ni mgogoro ambao hakuna nchi ya Afrika Mashariki itakayobaki salama. Kuna chaguo mbili tu: ama uwe sehemu ya mchezo na uchague upande, au ubaki mpweke kisha upokonywe hata kile kidogo ulichonacho. Tukirudi...
  4. Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  5. Marehemu Justice Rugaibula , ambaye Nyumba yake ipo katika mgogoro ndo huyu huyu alikuwa akiimbwa katika band za wakomani?

    Hili sakata linaoendelea muda huu . Kuhusu Justice Rugaibula , ndo huyu muhaya pendeshee ambaye amekuwa akiimbwa na wakongomani katika nyimbo zao. If yes , basi hili jambo linatafakarisha Sana.
  6. Watoto wa marehemu Mzee Augustino Ilomo wamuomba RC Iringa kuingilia mgogoro wa mirathi

    Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kuingilia kati mgogoro wa mirathi unaotishia kupoteza mali zote zilizoachwa na baba yao. Sarah anadai kuwa, licha ya juhudi...
  7. Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  8. Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  9. GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
  10. Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

    Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
  11. Msako mkali wa wahamiaji jamhuri ya Dominika: Mgogoro mpya Karibea

    Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...
  12. Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  13. Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  14. Mgogoro ndani ya Simba unafukuta, Mo na bodi yake wasusa, Simba yasafiri Kwa njia ya barabara kuelekea Tabora

    Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa...
  15. Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Tafsiri isiyo rasmi Jamhuri ya Malawi Taarifa kwa Umma Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo ya kisheria ya kimataifa, imefikia makubaliano ya kihistoria na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  16. Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  17. Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

    Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa. Cha...
  18. W

    Dkt. Kiruswa atoa ushauri utatuzi mgogoro uliodumu miaka 9 ●Aunda timu ya maridhiano ya

    Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ametoa ushauri wa kufanya maridhiano ya kweli baina ya wamiliki wa mashamba na wamiliki wa leseni ya madini katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. Dkt.Kiruswa ametoa ushauri huo leo tarehe 6...
  19. Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…