mgeni

Mgeni Jadi Kadika (born 1957) is a Tanzanian member of parliament for the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. Dudukwe awa mgeni wa Kaizer Chief

    Communication/social network is power
  2. Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  3. Mgeni mpya JF

    Hello wakubwa zangu Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani.. Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
  4. D

    Mimi ni mgeni humu ndani ninaombeni wanachama wenzangu mnipokee

    Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo? Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
  5. Mgeni Asiyejulikana: Siri ya Taured na Ulimwengu Usiofahamika

    Mwaka 1954, katika uwanja wa ndege wa Haneda, mjini Tokyo, Japan, mwanaume mmoja alifika kutoka Ulaya kwa ndege ya kimataifa. Alipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa pasipoti, maafisa wa uhamiaji walistajabu walipoona pasipoti yake, ambayo ilionyesha kuwa anatoka katika nchi iitwayo "Taured" –...
  6. Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

    Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama. Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila...
  7. June 13 Mwenyeji kafunga mlango kaondoka, Mgeni utaingiaje uthibitishe ulipeleka timu uwanjani?

    Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je, siku hiyo akiamua kufunga milango ya uwanja kisha kutokomea na funguo nani ataingia na kudai alipeleka...
  8. S

    Mgeni hapa

    Guys nimefika katika JamiiForums kama mgeni wenu tupeane ushirikiano Asante
  9. Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  10. O

    Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichoke kunishauri.
  11. JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  12. J

    Hodi JF mimi ni mgeni naombeni mnipokee

    Habari waungwana! Baada ya miezi kadhaa ya kufuatilia mijadala ya JamiiForums kama guest user sasa leo hii ninejiunga rasmi nanyi humu jukwaani. Naombeni mnipokee. Ahsanteni sana.
  13. Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  14. Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

    Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye. Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya...
  15. Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

    Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu. Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa...
  16. Mgeni wa Jamii Forums

    Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
  17. Raia wakigeni wasio kidhi vigezo vya uwekezaji wafukuzwe nchini (mtaji wa mwekezaji mgeni unaanzia BILLIONI 1)

    Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji. Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma. Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni. Naomba nitoe mfano mdogo: Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
  18. Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  19. Ujumbe wa Samia kuirejesha Derby ya Simba na Yanga? Atuma kikosi cha mawaziri wakatekeleze "4R", yawezekana akawa mgeni rasmi katika mchezo

    Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria kutoka chuo kikuu pekee (achana na High School zilizochangamka) , UDSM, Profesa Pamagamba John Aidan...
  20. R

    Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…