mgeni

Mgeni Jadi Kadika (born 1957) is a Tanzanian member of parliament for the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Beach Boy

    Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

    Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk Ipi Bora?
  2. Chance ndoto

    Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  3. N

    Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  4. Mad Max

    Arsenal inanitesa. Mapenzi yananitesa. Mi nitakua mgeni wa nani?

    Aisee hii timu muda wa kunifariji yenyewe ndio inanitesa.
  5. Tundusami

    Naitwa Tundusami mgeni nipokeeni

    Mi wamda mrefu umu ila nilikuwaga nasoma sasa nimeamua kujiunga mana kuna mada zinanivutiaga nashindwaga kuchangia asa ndo nimejiunga ivyo
  6. M

    Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  7. jamaikatz

    Mgeni kukaa kwako mwisho siku ngapi ?

    Mgeni kukaa kwako mwisho siku ngapi ?
  8. H

    Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
  9. itscowboy98

    Mimi ni mgeni tafadhari naomba mnipokee.

    Habarini wanajukwaa. Naomba mnipokee kwa mikono miwili Mimi ni mgeni humu jukwaani, natanguliza shukrani 🙏🏿
  10. R

    PostGE2025 Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Mkutano wa umoja wa Mabunge duniani (IPU) jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani. Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
  11. Arya Stark

    Mgeni nipokeeni - Nimejiunga rasmi sababu ya D9 na hotuba ya Samia

    Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia. Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni. Kunihusu: Jinsia - KE Makazi - Pwani Kazi - Winga Umri - Gen Z Mahusiano...
  12. prince alex khalifa

    Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

    Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa. Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
  13. Candela

    Mgeni lawama

    Hivi juzi nilipokea simu kutoka kwa ndugu huko mkoani. Akisema amepata kibarua mkoa nilipo hivyo anaomba aje akae kwangu. Nilimkaribisha lakini nikamwambia mimi naishi kibachela nyumbani sipiki akasema ye anataka pa ku lala tu. Alipofika akaanza kusema vyakula vya hotel hivi mara vile bora awe...
  14. MI-40

    Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Habari wanajamii mimi ni mgeni humu , ni kijana 30 male naomba mnipokee
  15. Street Hustler

    Mgeni hataki soda anataka mia saba yake

    Ab
  16. Pdidy

    Aviola part ii inaendelea hukoo USA TRUMP MGENI RASMI WEWE PATAMU

    Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
  17. GoLC

    Hodi kwenu mimi "mgeni"

    Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote utakaponiona na kunisikia ujue kwa asilimia kubwa ni masuala ya ndoa na mahusiano hadi kieleweke. Tunajua...
  18. ELI COHEN

    Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  19. K

    Mgeni Humu

    Habari ndugu zangu, JamiiForums ninaingia baada ya kupewa sifa kedekede na watu wangu wa Karibu. Natumaini Kujifunza na Kupata connection pia. Naomba kukaribishwa !!
  20. Roving Journalist

    Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
Back
Top Bottom