mgao

Swahili, also known by its native name Kiswahili, is a Bantu language and the native language of the Swahili people. It is one of two official languages (the other being English) of the East African Community (EAC) countries, namely Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. It is a lingua franca of other areas in the African Great Lakes region and East and Southern Africa, including some parts of the Democratic Republic of the Congo (DRC), Malawi, Mozambique, Somalia, and Zambia. Swahili is also one of the working languages of the African Union and of the Southern African Development Community. The exact number of Swahili speakers, be they native or second-language speakers, is estimated to be between 50 million to 150 million.Sixteen to twenty percent of Swahili vocabulary are Arabic loanwords, including the word swahili, from Arabic sawāḥilī (سَوَاحِلي, a plural adjectival form of an Arabic word meaning 'of the coast'). The Arabic loanwords date from the contacts of Arabian traders with the Bantu inhabitants of the east coast of Africa over many centuries, which was also when Swahili emerged as a lingua franca.In 2018, South Africa legalized the teaching of Swahili in schools as an optional subject to begin in 2020. Botswana followed in 2020, and Namibia plans to introduce the language as well. Shikomor (or Comorian), an official language in Comoros and also spoken in Mayotte (Shimaore), is closely related to Swahili and is sometimes considered a dialect of Swahili, although other authorities consider it a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipindi hiki cha mgao mishahara ya Tanesco inatoka wapi?

    Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo. Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka...
  2. Kwenye mgao wa umeme kuna upendeleo sana

    Yani kuna maeneo kila siku umeme shida,then unakuta mitaaa mingine hao hata hawajua hiyo shida, kuna maeneo ni kuonea watu, ni kama laini ya majaribio
  3. Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza...
  4. Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  5. M

    Upungufu wa Gesi na maji ndio chanzo mgao wa umeme

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeweka wazi kuwa sababu ya mgao wa umeme nchini umesababishwa na upungufu wa maji na gesi. “Sababu za uzalishaji wa umeme kuwa mdogo ni pamoja na upungufu wa maji kwenye mabwawa tegemezi yakiwemo Mtera, Kidatu na Kihansi; uchakavu wa mitambo ya kuzalishia...
  6. Mkoa wa Ilala kukumbwa na Mgao wa Umeme

    Taarifa rasmi toka Tanesco Mkoa wa Ilala. @TANESCO ata Dar es Salaam inategemea mabwawa ilihali Dar kuna Songas, Kinyerezi 1 &2 na matumizi ya umeme kwa % kubwa yako Dar es Salaam! Licha mvua kunyesha kiasi cha kuleta maafa huko mikoani ila mpaka leo Tanesco wanatumbia mabwawa yao hayana maji.
  7. TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  8. TANESCO Walalamikia Mvua kubwa, wasema ni chanzo cha mgao

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka. Kupitia taarifa iliyotolewa na...
  9. Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  10. Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  11. Ifike mahali huu mgao wa umeme angalau uzingatie kuleta Tija

    Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi. Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao. Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
  12. Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  13. U

    Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
  14. HIVI MGAO UPO AU NI HUJUMA

    Hivi hizi mvua zinazonyesha hazijafika mtera kweli? Inakuwaje tuna mgao mkali katikati ya mafuriko?
  15. R

    Wakenya wapata ladha kidogo ya mgao wa umeme jana 10/12/2023

    Jana Jumapili jioni 10/12/2023 Kenya ilikumbwa na mgao ulioathiri nchi nzima na kusababisha huduma kusimama katika sehemu zote za nchi. Tatizo hilo lilianza majira ya saa mbili usiku na ilikuwa ni mara ya tatu kutokea likiathiri nchi nzima katika miezi mitatu iliyopita Miongoni mwa taasisi...
  16. L

    Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
  17. B

    Zipi sababu za mgawo wa umeme usioisha Tanzania

    Wanajukwaa,habari za wakati huu baada ya harakati za kutwa nzima ama za utumishi wa jamii, kujitafutia mlo wa siku ama kuzitafutia familia mahitaji ya kila siku. Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tuu buheri wa afya. Pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto mbalimbali, iwe ni za kiafya, kijamii...
  18. Kwa hali ya umeme ni bora TANESCO watangaze mgao tu na sio hivi wanavyofanya

    Ni kama mgao wa kimya kimya lakini hauko fair, yani hauna ratiba zinazoeleweka, unajiandaa kufanya kazi umeme unakata, no bora wakeweka utaratibu ili mtu ajue ana adjust vipi ratiba za kazi, Na sisi tunataka tuishi na tunategemea hizi kazi ndugu zangu
  19. R

    Kama Taifa tunaitaji kujua sababu ya Mgao wa Umeme hata kipindi hiki cha mvua

    Kama Mtanzania nayeguswa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme ususani kwenye sekta ya wajasiliamali wadogo ( Welding/wanausika na aluminiam, viwanda vidogo vya kushona, saluni za kike/kiume, wachuuzi wa samaki, na wengine kibao) inatia huzuni kwa kweli. Unajiuliza kweli hii shida...
  20. R

    Kukosa umeme kutwa nzima kwa siku kunaathiri vipi shughuli zako za kujipatia kipato?

    Wakuu, Tunajua "Upungufu wa Umeme" bado upo, na ratiba inafuatwa vilivyo! Wengi wetu shughuli za kutupa michuzi ziko mchana na kwa kiasi kikubwa zinategemea umeme. Hii inafanya kukosekana kwa umeme kwa siku nzima kutupa hasara kubwa na kwa namna fulani kuturudisha nyuma kwenye harakati zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…