mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Bernadeta Mushashu aitaka Wizara ya Elimu ikubali mfumo una tatizo

    Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Ameeleza, "Wafungue mjadala mpana tukae tujadili tuangalie Mfumo wetu ni wapi kuna tatizo, kitu gani kinakosekana...
  2. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilitaka turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa nguvu

    Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Madasenga. Alikua na vigezo vyote lakini aliondolewa kwasababu tu ni chadema. Bahati mbaya...
  4. JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa namba za siri si salama

    Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja. Rejea taarifa ya TCRA. Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake...
  5. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mfumo humfanya kila mteule (mtu) afanane na aliowakuta

    Nguvu ya mfumo! Ni aina ya genge la watu au taasisi wanaojielekeza kutekeleza malengo flani! Miongoni mwa malengo hayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa, kiulinzi, kiuharifu au Vinginevyo!! Sifa moja kuu ya Mfumo (system) ni kurithisha tabia njema au mbaya kizazi hadi kizazi! Ni binadamu wachache...
  7. JamiiForums Tanzania Kikwete hakuwa mwizi, Ila mfumo uliachwa na Mkapa ulimzidi nguvu

    Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri. Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu aliwahi kunena haya kuhusu mfumo wa kodi

  10. JamiiForums Tanzania Pana chuo Tanzania kinatumia mfumo wa Semester wanafunzi kujiunga?

    Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester? Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo kwa mwaka. Hakuna kusema huyu ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wala wa ngapi. Mwanafunzi akitimiza...
  11. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Data: TCRA yasema mfumo wa zamani unaweza kurudi ndani ya siku nne

    Mkurugenzi mtendaji wa TCRA amesema kuwa sababu kiufundi zitasababisha ichukue siku nne kurejesha mfumo wa vifurushi wa awali
  12. B

    JamiiForums Tanzania TLS Yafafanua Mfumo wa Upatikanaji wa Viongozi Kuelekea Uchaguzi April 2021

    Tarehe 16 April 2021 ni siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi katika Chama Cha Mawakili Tanganyika TLS (Tanganyika Law Society). Wagombea urais waliopitishwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) hapo April 16 2021 ni wagombea watano ambao ni; Shehzada Walli, Albert Msando, Francis...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

    Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini. Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji. Serikali lione hili. SAUTI YA WATANZANIA
  14. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Nchi ya Ufini unavyolifanya Taifa hilo kuwa bora katika elimu Duniani; Tanzania inajifunza nini?

    Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia. Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish Nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Muungano wa Wafanyakazi Uingereza walia na mfumo wa teknolojia wa ufahamu bandia katika ajira

    Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kumtambua Wakili anayeruhusiwa kufanya kazi za Uwakili

    TAMS ni kifupi cha Tanzania Advocate Management System, mfumo unaomuwezesha mtu kutambua endapo wakili anaruhusiwa kufanya kazi za uwakili, amefungiwa, amehuisha leseni yake au la. Ikiwa utatumia Wakili ambaye haruhusiwi kufanya kazi za uwakili kutokana na sababu yoyote ile itapelekea nyaraka...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kupakua notes zilizo katika mfumo wa google drive

    Mwenye ujuzi anifahamishe tafadhari. Nawasilisha
  18. JamiiForums Tanzania Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

    Mume wa Rais ni mtu wa muhimu sana katika jamii, kama alivyo mke wa Rais. Katika dunia ambayo bado ni mfumo dume, mume awe tayari kukutana na changamoto katika jamii. Ninakumbuka wakati wa G8 summit, mume wa Angela Marckle alijikuta akiongozana na wake wa Marais katika kutembela shughuli za...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

    Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…