mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Je, mfumo wa TANEPS hauisadii Serikali?

    Je, huu mfumo wa manunuzi serikalini kupitia TANEPS hauisadii serikali. Ukisikiliza Ripoti ya CAG 2020/2021 unachoka kabisa, yaani kifaa ya mil 20 kinanunuliwa kwa mil 100 tender mfano ya kuongeza kina cha Bandari Tanga from bil 40 to bil 104. Serikali watumie to force account kupunguza...
  2. TARURA na mfumo wa maegesho kuna tatizo kubwa

    Nakumbuka mwanzo mwezi wa oktoba 2021 mfumo huu ulipokuja ulikuwa na changamoto nyingi mpaka ikabidi usimamishwe kwanza ili kuangalia namna mpya ya mfumo unavyofanua kazi ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wa maegesho.Lakini cha kushangaza mfumo huu umerudi na mbaya zaidi tatizo badala kuwa...
  3. TARURA badilisheni mfumo huu wa maegesho ni wa ovyo sana

    Habari, Tarura hivi sasa mna mfumo wa ukusanyaji charges za maegesho kwa njia ya kielectronics. Huu mfumo kiukweli ni mfumo wa OVYO sana kwani unamuumiza sana mmiliki wa gari. Mfumo huu pia unatengeneza mwanya wa upotevu mapato sana kulinganisha na ule wa awali. Ninasema haya kwa sababu: 1...
  4. M

    Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

    Wadau kwema Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
  5. Freeman Mbowe alia ubaguzi katika mfumo wa elimu Tanzania

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametoa msimamo wa chama chake, akisema kikifanikiwa kushika dola, lugha itakayotumika ni Kiingereza ili kuondoa alichokiita ubaguzi wa kiajira unaotokana na vijana wengi wa Kitanzania kutoijua lugha hiyo. Akiwa wilayani...
  6. Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  7. Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  8. TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki...
  9. Tatu bora ya wenyeviti wa vyama "wabovu" toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini.

    Habari zenu ndugu zangu, Ama baada ya salam, leo ningependa kuwaletea list ya wenyeviti wa vyama wabovu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe, huku nikiambatanisha na makosa yao waliofanya kupitia vyama vyao. 4) Mbatia - Huyu jamaa huwa anajifanya ni mpinzani, ila kiuhalisia sio mpinzani na...
  10. Wizara ya Maji yaangalieni haya kabla ya kukimbilia mfumo wa kulipia bili ya maji kabla ya matumizi (prepaid bill system)

    Habari wanajamii!.. Naona mfumo huu wa kulipia huduma kabla ya matumizi umeanza kuwa mfumo pendwa licha ya kuwa mfumo unaomuumiza zaidi mtumiaji au mlaji hususani huduma inapokosa ubora. Ni kweli wananchi tunapaswa kulipia huduma tunazopatiwa na Serikali ili kusaidia suala zima la uendeshaji na...
  11. Q

    Wadau wapendekeza mambo 12 mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi na Vyama vya Siasa

    Kwa kifupi; 1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani. 2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi. 3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi. 4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote. 5. Jeshi la polisi kutoingilia shughuli za vyama vya siasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. 6...
  12. Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
  13. B

    Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
  14. Serikali iwe makini, join the chain inaweza kuwa mkakati wa kutakatisha fedha chafu na kuziingiza katika mfumo rasmi

    Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
  15. Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

    Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter. Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
  16. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

    Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan. Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia...
  17. INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  18. Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

    VAR SYSTEM 1. Gharama zake ni kiasi gani? Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh. 2. Inaendeshwa chini ya chombo gani? VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football Association Board) (Bodi ya kimataifa ya shirikisho la soka) 3. Mtu Yeyote anaweza Oparate? *Hapana...
  19. Hakuna kuwa katikati, ni aidha ufuate mfumo jike au Mfumo Dume

    Kwema Wakuu! Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati. Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume. Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida. Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na...
  20. Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…