mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Responded CBE: Suala la matokeo ya Wanafunzi wa 2018/19 na 2019/20 kutowekwa katika mfumo wa NACTVET, linashughulikiwa

    Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET TAREHE: 20/10/2026 Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
  2. C

    JamiiForums KERO Tunahamasisha ulipaji wa Kodi kupitia mfumo wa TAUSI au tunawakatisha tamaa wanaotaka kulipa?

    Nina dukuduku ambalo ningependa kulifikisha kwa wahusika na kuanzisha mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mifumo yetu ya kidijitali katika utoaji wa huduma za umma. Wiki hii nzima nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kupata leseni mpya ya biashara kupitia mfumo wa TAUSI, lakini kila ninapojaribu...
  3. A

    JamiiForums KERO NMB mmeshindwa ku-handle mfumo wenu, kila siku changamoto, hadi lini hii kero?

    NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa nikakuta salio linasoma Sh 540,000 na hakuna muamala wowote niliofanya, nikawapigia simu, wanasema...
  4. JamiiForums Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

    Kwenu wataalamu, Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati...
  5. M

    JamiiForums Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  6. I

    JamiiForums Mfumo wa kieletronic wa ajira Zanzibar (zanajira)Tokea Jumatatu mpaka leo haufungukii jee wahusika hawalioni hili?

    Mfumo wa kieletronic wa ajira zanzibar (Zanajira)Kuanzia tarehe 12 mpaka leo haufunguki na wala hauruhusu mtu aingie ktk account yake jee wahusika hawalioni hili?
  7. JamiiForums CCM inatumia mfumo wa Frog boiling effect kuendesha nchi

    Frog boiling effect au boiling frog syndrome ni maelezo ya dhana ya kisaikolojia kuwa binadamu anaweza kuvumilia jambo baya akifanyiwa kwa taratibu (awamu kwa awamu) kuliko jambo hilohilo akifanyiwa kwa ghafla kwa wakati mmoja. Maelezo ya dhana hiyo yanaonesha kuwa kuna chura aliwekwa Kwa...
  8. R

    JamiiForums Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
  9. M

    JamiiForums KERO Kwanini katika mfumo wa Sekretarieti ya ajira ikitangazwa kazi ya astashahada mwenye shahada anaambiwa hana sifa?

    Kuna changamoto katika mfumo wa ajira. Baadhi ya watu wamesoma kozi tofauti katika ngazi ya cheti na diploma, lakini nafasi za kazi zinapotangazwa kulingana na kozi walizosoma katika ngazi ya cheti, mfumo unawakatalia kuomba kwa madai kuwa hawana sifa zinazohitajika. Nashauri mfumo uruhusu...
  10. JamiiForums Mfumo wa kisasa wa

    Marekani: Kikosi cha 1 cha Jeshi la Wapanda Farasi kimeanza kupokea magari ya mapigano ya M2A4E1 Bradley yenye Iron Fist, mfumo hai wa ulinzi uliotengenezwa na Mifumo ya Elbit ya Israeli. Magari hayo yanapelekwa Fort Hood, Texas, kulingana na CTech. Elbit anasema mfumo huo umeundwa kuzuia...
  11. JamiiForums KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳

    KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳 Rafiki yangu mmoja siku moja aliniambia anatafuta mfumo wa kusimamia biashara yake, lakini mifumo aliyokuwa anaiona ilikuwa ya kulipia na bei zake zilikuwa ghali sana kwake. Nikamuuliza, “Kaka, unafanya biashara...
  12. S

    JamiiForums Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  13. K

    JamiiForums Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

    SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?! Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma. Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
  14. JamiiForums Je kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR

    Habari, Naomba kufahamishwa kama kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR mana nashindwa kuingia kwenye mfumo. Nashukuru
  15. T

    JamiiForums First Public Release of the NEXTGAMIS ABS / Toleo la Kwanza Kwa Umma la NEXTGAMIS ABS - Mfumo wa Kusimamia na Kuendesha Biashara ya Uwakala

    Habari WanaJF, Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki: https://www.youtube.com/watch?v=sIVh3DThz7M Maelekezo kamili yapo kwenye PDF iliyoambatanishwa hapa...
  16. JamiiForums Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    Wasalaam, Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu? Sisema tuige Marekani 100%. Lakini kuna principle moja ambayo nadhani inaweza kutumika. Mamlaka zaidi, rasilimali zaidi na...
  17. JamiiForums Mjinga anapopata madaraka sio hatari, hatari ni ule mfumo anaoujenga

    Kuna msemo unasema: “Mjinga akipata madaraka, cha kwanza atawanyamazisha wenye hekima; cha pili atawazungusha wajinga wenzake; na cha tatu ataanza kuharibu na kubomoa nchi.” Ukiitazama historia ya siasa za Afrika, msemo huu una jambo la kutafakari. Kwanza: Atawanyamazisha wenye hekima...
  18. A

    JamiiForums KERO Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET

    Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET. Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
  19. E

    JamiiForums Ujue mfumo wa points za udereva (Drivers Licence Point System)

    Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
  20. JamiiForums Moshi yazindua Mfumo wa E-Ardhi huduma popote, Wananchi 890 wapimiwa ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Ndugu Godfrey Mnzava, amekabidhi hati 50 za ardhi kwa Wananchi wa Kijiji cha Koresa, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Mfumo wa Ardhi Kliniki Kidijitali, maarufu kama “E-Ardhi Huduma Popote.” Uzinduzi huo umeenda sambamba na utoaji wa elimu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…