mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo havi-update kwa wakati taarifa za Diploma kwenye Mfumo wa NACTE. Ukiomba ajira Serikalini, mfumo haukutambui

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi. Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kinachoitesa Nchi ni mfumo wa Urais Usiodhibitika na yeyote wala kuhojiwa

    Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo...
  3. JamiiForums Tanzania Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

    Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
  4. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Napa kama umekaa kutrace watu japo siweki wazi kama programmer

    Kuna mfumo ambao ulianzishawa wakati mifumo ya idara nyingi zinaweza kuwa sehemu zake ila nimeona sababu ya kushtuka sio kila mambo kuweka wazi. Hii App Napa kwa mtindo ambao kama tutamaliza mzozo wa mambo ya katiba na mifumo mibovu ya serikali basi leo msije kusema mpo salama. Mfumo huu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!

    Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu yeyote asiweze kutekwa kwasababu tu ya mawazo yake. Makanisa yasifungwe kwa kukasirisha watu hata maka...
  6. JamiiForums Tanzania CCM sasa imebaki na "wanasiasa mfumo"

    Hali ya kisiasa ndani ya CCM kwa sasa haivutii sana. Viwango vya ueledi kisiasa umeshuka sana, hadi sasa tumebaki na "wanasiasa mfumo". Wanasiasa mfumo ni wale wanakuwa recycled toka kazi za kiserikali, na kurudishwa chamani. Wanasiasa mfumo hawana mawazo ya kwao kisera wala kisiasa, wao ni...
  7. JamiiForums Tanzania Nasikitika kuna watu wanajiita great thinker bado wanauziwa uongo kwamba Mbunge analetea jimbo maendeleo. Huu ni uongo mkuu.

    Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa. Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi. Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  9. JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU: Safari ya Mchoma Mwiba wa Mfumo, Msimamo Usioyumba, na Ndoto ya Tanzania Mpya

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake. Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya kazi/nafasi ambazo muda wowote unaweza kuingia matatizoni, kujaa kwenye mfumo au sifa yako kuchafuka

    1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana -Huyu muda wowote kinaumana 2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike -huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini 3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha 4. Daktari anayehusika na wajawazito 5...
  11. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  13. JamiiForums Tanzania Utalii wa Mlima Kilimanjaro: Hazina ya Taifa Inayoendelea Kupotezwa kwa Kutojengewa Mfumo Endelevu wa Kiuchumi na Kihistoria

    Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Maliasili mfumo wa maombi ya Vyuo una shida gani?

    Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo. Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu kwamba nifanye malipo! Nikilog in mfumo hauendelei mbele wala haufunguki niweze kuingia kwenye akaunti...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Ni balaa, Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana Dah
  16. JamiiForums Tanzania Kuna nyuzi ziliwahi kutrend humu hadi zikageuka kama mfumo wa maisha watu fulani lakini kama ulivyo upepo yakapita na kuisha

    Wale jamaa na uzi wao wa kunywa mikojo yao ya asubuhi ili washinde bet za milioni 200 na watu walikunywa kwa kweli maana sisi waafrika na mambo ya kufikirika,🤣🤣🤣 Uzi wa Ontario na victims wake , kila mtu alitaka atengenezee pesa akiwa amekaa chumbani kwake kilichotokea wanajua🤣🤣 Nyuzi za yule...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuchagua comb kidato cha kwanza

    Nina ndugu yangu yuko kidato cha kwanza shule ya private ila leo karudi na barua toka shule kwamba kachuguliwa kusoma HKL kwa maana ya masomo ya ART na ni yuko kidato cha kwanza je huu ni mtaala mpya wa kulazimishwa kusoma combinations fulani bila mwanafunzi kuchagua? Na hata bado hajafika...
  18. JamiiForums Tanzania Enoki ameuwawa video yake imetrend Sasa raia wanaanza kuiga mfumo unavyoteka watu.

    Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi ufutwe

    Haya ni maoni binafsi maana kwa Sasa inaonekana kushabikia siasa za upinzani ni kosa la kukuletea umauti. Wakusoma 12 kwa napendrkeza mfumo wa nyama vingi ufutwe ili taifa lifuate mrengo wa chama kimoja Cha siasa. Hatuwezi kuendelea kupoteza maisha ya watu kisa vyama vya siasa na hili ni...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…