Hapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo.
Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara ni Siri kubwa pia. Wale tunaoulizia biashara ukumbuke biashara ni Siri na Siri ndio pesa yenyewe.
Hakuna atakaekupa code zote na njia anazopita hiyo sahau. So wale tunaofuatana DM kuulizana mjifunze hapa, pesa ina Siri na biashara ni Siri ya anayeifanya. Hivo msihangaike wewe andaa mfumo wako nawe utembee mbele kwa mbele hivo ndivo ilivo.