Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa...