Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi.
Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu.
Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo
Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga
Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
Kwa mfano imetokea wewe kijana umefungwa kwa kumtia mimba mwanafunzi. Miaka 30 baadaye, ukarejea na kukutana na ukweli mchungu ambao hukutarajia.
📜
Kwa mfano, wewe ni kijana wa kiume na katika harakati za hapa na pale katika ujana wako, ukajikuta unamtia mimba mwanafunzi wa shule. Kwa kosa...
Habari za leo Watanzania
Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa.
Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani.
1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
Peter Tabichi ni mwalimu wa sayansi kutoka kijiji masikini sana nchini Kenya. Anapata mshahara mdogo sana kutokana na kazi yake, lakini anatoa asilimia 80 ya mshahara wake kuwasaidia wanafunzi wake. Wengi wao ni mayatima au wanatoka katika familia masikini kiasi kwamba hawana chakula wala...
Salaam!
Kuna mtu mahiri sana Katika historia ya nchi yetu ambaye isingekuwa hila za familia moja yenye uchu wa madaraka kule Zanzibar, angekuwa Rais wa nchi Bora sana baada ya Mwl Nyerere.
Imagine mwaka 1964 akiwa na miaka 22 pekee aliteuliwa kuwa balozi kuiwakilisha nchi kule Misri, Akapata...
Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson.
Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa...
Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.?
Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira.
Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.
Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji...
Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida.
Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita muda mwingi bila kupokelewa. Mke wake pia nasikia alipiga simu kazini kwake wakasema leo hakwenda...
Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi...
Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi.
Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.