meno

Meno (; Greek: Μένων, Ménōn) is a Socratic dialogue by Plato. Meno begins the dialogue by asking Socrates whether virtue is teachable. In order to determine whether virtue is teachable or not, Socrates tells Meno that they first need to determine what virtue is. When the characters speak of virtue, or rather arete, they refer to virtue in general, rather than particular virtues, such as justice or temperance. The first part of the work showcases Socratic dialectical style; Meno, unable to adequately define virtue, is reduced to confusion or aporia. Socrates suggests that they seek an adequate definition for virtue together. In response, Meno suggests that it is impossible to seek what one does not know, because one will be unable to determine whether one has found it.Socrates challenges Meno's argument, often called "Meno's Paradox" or the "Learner's Paradox," by introducing the theory of knowledge as recollection (anamnesis). As presented in the dialogue, the theory proposes that souls are immortal and know all things in a disembodied state; learning in the embodied is actually a process of recollecting that which the soul knew before it came into a body. Socrates demonstrates recollection in action by posing a mathematical puzzle to one of Meno's slaves. Subsequently, Socrates and Meno return to the question of whether virtue is teachable, employing the method of hypothesis. Near the end of the dialogue, Meno poses another famous puzzle, called "The Meno Problem" or "The Value Problem for Knowledge," which questions why knowledge is valued more highly than true belief. In response, Socrates provides a famous and somewhat enigmatic distinction between knowledge and true belief.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbele kuna Giza nene, Kulia na kusaga Meno

    MBELE KUNA GIZA NENE, KULIA NA KUSAGA MENO! Anaandika, Robert Heriel. Njia imesonga, nuru inazidi kufifia, Kurudi nyuma haiwezekani, mbele nako giza limetanda, twajua tulipotoka lakini hatuna uhakika wa hatma yetu. Pale nguvu zitakapotuisha, akili itakapo poteza uwezo wake wa kufikiri. Nini...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

    Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

    Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa Wazalendo msihofu majizi na mafisadi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli huko Urusi inazifanya nchi za Magharibi ziisagie meno lakini hazina jinsi

    Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022 Russia Gasoline prices Litre Gallon RUB 51.790 196.046 USD 0.840 3.180 EUR 0.786 2.975 United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022 United Kingdom Gasoline prices Litre Gallon GBP 1.756 6.647 USD 2.199 8.324 EUR 2.056 7.783...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Watu kama hawa kwa Wanavyotukera Abiria watakuwa Wanapanda ndani ya Mabasi ila wakishuka hawatakuwa na Meno yao

    Mtu unasafiri zako mwendo mrefu halafu anapanda Mtu anahubiri Masaa Mawili tena kwa Kelele huku Mwingine nae anakuuzia Mayai na Mahindi hadi Unakereka. Wadhibitiwe upesi tutawapiga sasa.
  6. JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa asili ya Watanzania tunahitaji Rais wa kidemokrasia ila mwenye tabia za kidikteta au Katiba yenye Meno Makali

    Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:- 1. Wavivu 2. Wezi na sio waaminifu 3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi. Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tujuzane. Wataalamu wa kutibu meno wanapatikana wapi?

    Habari wakuu, 1.Tujuzane hapa kama unawajua waganga wa asili wanaotibu meno,hasa fizi kuvimba na maumivu makubwa ya meno. 2. Dentists wazuri. 3.Hospitali nzuri za meno. 4. Dawa nzuri ya meno. 5. Njia zilizokusaidia. Mawasaliano yao na bei zao. Dogo hapa ana shida ya haraka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  10. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu. Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu miaka saba iliyopita, ambapo ongezeko hilo limesababishwa na hofu baada ya mzalishaji mkubwa Urusi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno

    Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno Ile kampuni maarufu Bongo kwa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za vipodozi, maarufu kwa jina la Zoa Zoa imepiga hatua nyingine mbele kwa kutoa dawa ya Meno iitwayo Zoa Zoa ya Meno. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Fluorosis, ugonjwa wa madoa kwenye meno pamoja na kutoboka

    fluorosis ni miongoni mwa magonjwa ya kutoboka na kupata madoa kwenye meno. Ugonjwa huu husababishwa na kiwango cha juu cha fluoride. Moja ya nchi ambazo zinakubwa na Ugonjwa huu ni Tanzania, na meneo mengi yaliyo kubwa na Ugonjwa huu au yenye kiwango cha juu cha fluoride ni Maeneo ya mkoa wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kulitoa meno Bunge ulianza kitambo, haya tunayoona ni matokeo tu ya process

    Tujikumbushe kidogo! Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu mijadala bungeni ambayo inaishambulia serikali!Sitta hakusikia na akaendelea kulisimamia Bunge kwa kufuata...
  14. JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

    Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali. Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi wake ana mwanamke mwengine . Wawili hao walikua kwenye mahusiano muda Wa wiki 3. Baada ya kutambua kua...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi haijashuka, je serikali haina meno?

    Ni hivi jana serikali imepiga marufuku kupanda bei huku kukiwa na sintofahamu ya marufuku iliyotolewa kupanda kwa gesi. Bei ya Gesi haikupunguzwa baada ya serikali kuingilia kati na kupiga marufuku upandaji huo. Sasa najiuliza Meno ya serikali ni butu na hivyo hata kwenye petrol watagomewa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania NEC yataka Tume yao ipewe meno ili iwe Huru

    Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, Agosti 21 akiwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Rais Samia alitoa mapendekezo saba ya kufanyiwa kazi, likiwemo la kuanzishwa kwa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo itawapa meno zaidi. Mapendekezo ya NEC ya kutaka ianzishwe...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuweka meno bandia

    Habari zenu mabibi na mabwana, Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini. Naombeni msaada wenu.
  19. JamiiForums Tanzania Bei ya gesi imeshindikana kushuka au EWURA hawana meno?

    Habari wadau! Wiki iliyopita kuna taarifa kuwa bei za gesi za majumbani (LPG) zimepanda watu wakalalamika sana mpaka Ewura wakatoa tamko. Lakini cha ajabu bei haijashuka bado imepanda mtungi wa 6Kg tuliokuwa tunanunua 18,000/= kwa sasa 20,000/= maisha yamekuwa magumu sana maaana hata mafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

    Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao. Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…