mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi mengi yanayobeba kupeleka watoto shuleni na kurudisha majumbani yanakua yamechoka sana?

    Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025

    Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025 Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yaani Mawazo ni mengi

    😆🤣👇
  6. JamiiForums Tanzania Kama hauna mambo mengi, daka Mitsubishi i-MIEV electric car, hafu sahau gharama za mafuta!

    Wadau wa JF Garage. Kuna chuma, EV kutoka kampuni la Kijapan Mitsubishi inaenda kwa jina Mitsubishi i-MIEV (Mitsubishi innovative Electric Vehicle). Hii unaweza kuipata BEforward kwa bei kati ya Mil 5 hadi 6 na kuendelea, na kodi zake (kwenye calculators ya TRA haipo) nimeulizia ni Tsh Mil 3.5...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

    1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar) 2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu. 3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
  9. JamiiForums Tanzania Maduka mengi yaendelea kufungwa Kariakoo, Jumanne ya Juni 25, 2024

    Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa. Itakumbukwa kwamba jana...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

    Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k. Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Majanga mengi ya asili hayatokei mchana

    Ni kama Mungu aliweka iwe hivyo mafuriko mengi huwa yanatokea usiku ndo maana idadi ya wanaokufa inakuwa sio ya kutisha Kwa sababu watu wanakuwa wamelala wanaamshwa na majanga wanapata nafasi ya ku jiorganize fasta Kwa ushirikiano ila ingekuwa tuseme mchana aisee ndo Balaa maana watu wanadata...
  12. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi hayafiki mbali kwa sababu watu wana haraka ya kubadilishana tabia

    Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue . Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka...
  13. JamiiForums Tanzania Matatizo 3 ambayo binadamu hukumbana nayo kila siku

    Binadamu hukumbana na matatizo mengi kila siku, lakini hapa kuna baadhi ya matatizo matatu ambayo mara nyingi hutokea: 1. Msongo wa mawazo (Stress): Binadamu mara nyingi hukumbana na hali ya msongo wa mawazo kutokana na sababu mbalimbali kama vile shinikizo la kazi, mahusiano, maswala ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  15. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
  16. JamiiForums Tanzania Chato ni Wilaya yenye makabila mengi kuliko wilaya yoyote nchini

    Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa. Back to the point wilaya hii ina makabila kama Waha, Wasukuma, Wasumbwa, Wasubi, Washubiwazinza, Warundi, Wahaya...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu. Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

    Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama. Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya dini ya Kikristo kuwa na madhehebu mengi ukilinganisha na dini nyingine?

    Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
  20. JamiiForums Tanzania Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye maji yenye mabarafu

    Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…